Home Blog Page 2818
NGULI wa soka wa Cameroon, Samuel Eto’o ameweka wazi kuwa anaamini timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itafanya kweli katika mashindano ya Kombe la Afrika ‘Afcon’ mwaka huu.Stars inatarajiwa kushiriki Afcon ambayo imepangwa kuanza kutimua vumbi Juni 21...
KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera amegoma katakata kuchaguliwa kocha msaidizi na viongozi wake huku akiwataka wamuachie hiyo kazi yeye wa kuchagua wa kufanya naye kazi.Zahera ambaye alianza kuinoa Yanga mwishoni mwa msimu wa 2017/18, tangu hapo alikuwa akisaidiwa na...
LISTI kamili inayotajwa kusajiliwa na Yanga mpaka sasa1. Issa Bigirimana (APR Rwanda)2. Patrick Sibomana- (Mukura Victory Rwanda)3. Mohammed Camara- (Horoya Guinea)4. Mustapha Suleiman- (Aigle Noir AC Haiti)5. Sadney Ukhrob (Namibia)6. Lamine Moro (Ghana)Wachezaji wa ndani1. Ally Mtoni (Lipuli FC)2....
BAADA ya Real Madrid kukamilisha dili la Eden Hazard kutoka Chelsea kwa dau la Euro milioni 150, Hazard amesema amefanya maamuzi magumu kwenye sekta ya michezo.Hazard amekubali kusaini mkataba wa miaka mitano ndani ya Madrid ya Zinedine Zidane na anatarajiwa...
MBIVU na mbichi kwa timu za Ligi Kuu Bara (TPL) Kagera Sugar na Mwadui FC kubaki ama kushuka moja kwa moja itajulikana leo baada ya dakika 90.Kagera Sugar leo itakuwa kibaruani kucheza mchezo wa Playoff na Pamba  uwanja wa...
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi
BAADA ya kupata nafasi ya kushiriki michuano ya  Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga imeweka wazi lengo lao ni kutwaa ubingwa huo msimu ujao.Yanga imepata nafasi ya kushiriki michuano hiyo msimu ujao baada ya kumaliza ligi msimu uliopita ikiwa nafasi...
UONGOZI wa Singida United umetangaza fursa kwa wachezaji wote ambao wanahitaji kujiunga na kikosi hicho kwa ajili ya msimu mpya wa mwaka 2019/20.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Singida United, Cales Catemana amesema kuwa lengo la mradi huo...
KOCHA wa magolikipa wa kikosi cha Yanga, Juma Pondamali amesema kuwa kikubwa kilichokuwa kinamponza mlinda mlango Klaus Kindoki kushindwa kufanya vizuri ni hofu akiwa langoni.Kindoki ambaye ni chaguo namba moja mbele ya Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera msimu wa 2018/19...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS