BAADA ya Shirikisho la Soka Afrika kuthibitisha kwamba rasmi Tanzania itashirikisha timu nne michuano ya kimataifa kutokana na kukidhi vigezo hasa baada ya kushika nafasi ya 12 kwa ubora, uongozi wa Simba umetoa tamko kwa timu zitakazoshiriki.Kuongezeka kwa timu...
MICHUANO ya Ndondo Cup msimu wa mwaka 2019 imezidi kunoga baada ya kampuni ya vinywaji ya Bakhresa tawi la Magomeni Icecream kuongeza nguvu ya udhamini kwenye michuano hiyo ambayo imejipatia umaarufu kwa sasa ikiwa na lengo la kuinua na kukuza...
Taarifa mpya ya Shirikisho la Soka Tanzania Bara (TFF) kuhusiana na timu zitakazoshiriki Ligi ya Mabingwa Africa (CAF Champions League).
Imeelezwa kuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Simba akiwa zake Ubelgiji ameacha maagizo kwa bodi ya klabu ya Simba kuhusu usajili na kuboresha baadhi ya vitu kwenye bechi la ufundi la klabu hiyo.Kwenye bechi la ufundi Aussems ameitaka bodi...
Luka Jovic amejiunga na klabu ya Real Madrid kwa ada ya dau ya Euro milioni 62 amepewa kandarasi ya miaka mitano.Mshambuliaji huyo ambaye alikuwa akitumikia klabu ya Eintracht Frankfurt ameweza kusajiliwa kwa ada ya dau kubwa kuliko wote ambao...
MAMBO ni moto ndani ya Yanga. Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya usajili wa timu hiyo ilioufanya mpaka sasa kupongezwa na baadhi ya makocha wa kutoka nje ya nchi ambao wamewahi kufundisha soka hapa nchini. Mpaka sasa Yanga imewasajili...
IMEELEZWA kuwa uongozi wa Yanga kwa sasa upo kwenye mazungumzo na winga wa kikosi cha Tanzania Prisons, Ismail Azizi kwa ajili ya kuwatumikia msimu ujao.Yanga kwa sasa ipo kwenye mchakato wa kuboresha kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao...
MEI 28 Ligi Kuu Bara ilifika tamati ambapo bingwa wa ligi msimu wa 2018/19 ni Simba baada ya kumaliza ligi akiwa na pointi 93.Timu mbili ambazo zimeshuka ni pamoja na Stand Unite na African Lyon huku mbili zitacheza playoff...
UONGOZI wa Namungo FC yenye maskani yake Mtwara imemsajili mshambuliaji wa Alliance FC, Bigirmana Blaise kwa kandarasi ya mwaka mmoja.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Namungo, Kidamba Namlia amesema kuwa ni mpango wa mwalimu, Hitimana Thiery kupata wachezaji...
Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya SportPesa Tanzania imewazawadia simu za kisasa za mkononi (smartphone) 24 watanzania mbalimbali walioshinda katika promosheni ya Usibahatishe Cheza na SportPesa.Washindi hao ni Amran Samwel Mwanga, Jimmy Joseph, Frank Paulo, Juma Issa, Tiblus Dominik, Kassim Mbaga ambao...