Naby Keita wa Liverpool ataukosa mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Tottenham kutokana na majeruhi.Keita alipata majeruhi hayo kwenye mchezo wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Barcelona.Kiungo huyo huyo amesafiri na timu kwenye...
MCHEZO wa sasa unaoendelea uwanja wa Taifa kati ya Yanga na Azam FC ni kipindi cha kwanza na hakuna ambaye ameliona lango la mpinzani wake.Mchezo huu una ushindani mkubwa kwa timu zote mbili ambazo zinatafuta heshima kwenye uwanja wa...
Kikosi rasmi cha Azam FC kitakachoanza leo dhidi ya YangaKikosi kitakachoanza16 Razak Abalora57 Lusajo Mwaikenda03 Daniel Amoah05 Yakubu Mohammed06 Agrey Moris (c)22 Salmin Hoza27 Mudathir Yahya08 Salum Abubakar07 Obrey Chirwa11 Donald Ngoma26 Bruce KangwaAkibaMwadini Mwasapili Mwantika DomayoPeter Lyanga Singano.
Mpaka sasa hivi African Lyon ndiyo timu pekee ambayo hatutokuwa nayo kwenye ligi kuu msimu ujao.Kwa utaratibu uliopo, timu zinazoshika nafasi ya 19 na 20 zitashuka moja kwa moja daraja na kwenda ligi daraja la kwanza.Timu mbili...