KOCHA Maurizio Sarri, ambaye ametwaa kombe la Europa League msimu huu akiwa na Chelsea, inasemekana ameshafikia muafaka na Juventus kwa ajili ya kuinoa timu hiyo kwa msimu ujao wa 2019/20.Juventus inataka kumchukua Sarri kutoka Chelsea ili kuchukua nafasi ya...
UONGOZI wa Azam FC, umesema kuwa wametumia mbinu moja kubwa ikiwa ni pamoja na mchezo wao dhidi ya Yanga kuandaa kikosi cha mauaji dhidi ya Lipuli.Mchezo wa mwisho wa Azam kwenye ligi walicheza na Yanga na kuibuka na ushindi...
IMEELEZWA Kuwa baada ya mshambuliaji wa Azam FC, Obrey Chirwa kuigomea klabu hiyo kuongeza mkataba mpya ndani ya klabu hiyo ameanza mazungumzo na kikosi cha Yanga ili kujiunga nao msimu ujao.Taarifa kutokana ndani ya Yanga zimeeleza kuwa Chirwa amekuwa...
Harakati za usajili wa Yanga zinaendelea kwa kasi kwa ajili ya kujiimarisha kwa ajili ya msimu ujao , baada ya kuteseka sana msimu huu.Imedhibitishwa rasmi kuwa Yanga imemsajili kiungo wa APR, Issa Birigimana ambaye huitwa Theo Walcot...
Eden Hazard, baada ya kutimiza jukumu lake ndani ya kikosi hicho kutwaa kombe la Europa League kwa kuifunga Arsenal mabao 4-1, amesema kuwa anataka kwenda Real Madrid. Hazard alifunga mabao 2 kati ya mabao 4-1 ambayo wameshinda mbele ya Arsenal na...
BAADA ya jana bodi ya Ligi kuweka usawa na kukubali kwamba wameboronga kwenye suala la kukusanya data za matokeo ya mchezo wa Stand United na Kagera Sugar kisha kuishusha Kagera Sugar kabla ya kuipanisha tena Uongozi wa Ruvu Shooting...
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi.
Klabu ya Yanga imeendelea kuonesha makucha yake baada ya kumalizana na kiungo Patrick Sibomana kutoka Rwanda.Yanga imezidi kuboresha kikosi chake kutokana na wachezaji wengi kumaliza mikataba yao msimu huu uliomalizika.Sibomana anakuwa mchezaji wa tatu kumwaga wino Yanga baada ya...
Imeelezwa kuwa uongozi wa klabu ya Simba umepanga kuwatoa kwa mkopo nyota wake watatu akiwamo mshambuliaji, Adam Salamba, anayekwenda kukipiga nchini Ureno.Taarifa imeeleza kuwa Salamba ambaye alisajiliwa na Simba msimu huu akitokea Lipuli FC kwa dau la Sh milioni...
..