Home Blog Page 2886
MABOSI wa Simba wameuweka pembeni mkataba wa Emmanuel Okwi kwa kile kilichotajwa kutaka dau kubwa la usajili kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.Mganda huyo hivi karibuni aliwaaga mashabiki wa timu hiyo kwa kupitia mtandao wa kijamii...
SERIKALI imesema itaendelea kumsaidia kwa hali na mali Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, anayechezea Klabu ya Genk ya Nchini Ubelgiji Mbwana Samatta ili kuhakikisha kuwa anafungua milango ya uwekezaji na kuiweka juu ramani ya Soka...
Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) imetangaza kufanya marekebisho katika msimamo wa Ligi Kuu Bara huku ikisema itachukua hatua kwa watunza takwimu wake waliopotosha.Awali ilionekana Kagera Sugar ndio imeteremka lakini Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi, Boniface Wambura amesema marekebisho waliyofanya...
Timu ambayo ilikuwa inasubiriwa kushuka daraja kuungana na African Lyon imepatikana rasmi. Baada ya sintofahamu kutokea jana wakati ligi ilipomalizka. Stand United ya Shinyanga  wameshuka daraja baada ya kufungwa na JKT Tanzania kwa goli 2-0 na JKT...
Mshambuliaji wa Manchester United Mbelgiji Romelo Lukaku upo tayari kukatwa mshahara ili ahamie klabu ya Inter Milan hivi karibuni. (Gazzetta dello Sport)Kocha wa Man United Ole Gunnar Solskjaer ameipa klabu yake muda mpaka mwakani kuuza wachezaji wote asiowataka ikiwa...
Ibrahim AjibuKesho, Mei 30 mkataba wake unamalizika ndani ya Yanga, bado amekuwa pasua kichwa kwa kocha Mwinyi Zahera kutokana na kuvuruga dili lake la kusepa kwenda TP Mazembe na mpaka sasa hajaonana na kocha wake huyo ambaye ndiye alimshauri...
BAADA ya kutwaa ubingwa jana, mabingwa wa Ligi Kuu Bara Simba leo wanarejea makao makuu ya klabu Msimbazi kuendeleza sherehe za ubingwa.Sherehe za ubingwa zitaanzia maeneo ya Kibaha, mkoani Pwani majira ya saa 5:30 ambapo wachezaji pamoja na kombe...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS