Record ya Simba vs Geita Gold Ligi Kuu Bara: Nani Kuibuka na Ushindi Meja Jenerali Isamuhyo?
KIKOSI cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Steve Barker kinatarajiwa kushuka dimbani kesho Agosti 31, 2026, kuikabili Geita Gold katika mchezo mkali wa Ligi Kuu…