Anza Msimu kwa Kujishindi Mamilioni Hapa
Ligi mbalimbali zimerejea na huu ni msimu wa kutengeneza pesa tuu. Anza safari ya ushindi hapa kwani wengi wametajirika sana. Usisubiri kuhadithiwa kwani mabingwa wote…
Ligi mbalimbali zimerejea na huu ni msimu wa kutengeneza pesa tuu. Anza safari ya ushindi hapa kwani wengi wametajirika sana. Usisubiri kuhadithiwa kwani mabingwa wote…
AZAM FC imekuwa miongoni mwa klabu chache zenye uwezo wa kifedha na miundombinu ya kuvunja utawala wa vigogo wa Kariakoo—Simba SC na Yanga SC—katika Ligi…
BAADA ya kufanya usafi wa kikosi kwa kuachana na wachezaji 15, klabu ya Mlandege imeanza rasmi mchakato wa kusajili mitambo mipya kuelekea msimu wa 2026/2027,…
Mchezaji wa Geita Gold Queens, Marry Mjema, amefunguka kueleza masikitiko yake baada ya klabu hiyo kushindwa kumpa mshahara wake wa Sh1.75 milioni, licha ya Shirikisho…
Aliyekuwa kiungo machachari wa Yanga Princess, Maimuna Hamis ‘Mynaco’, amekamilisha usajili wa kujiunga na Mashujaa Queens kwa mkataba wa mwaka mmoja kama mchezaji huru. Nyota…
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge, amekiri kuwa kikosi chake bado hakijafikia kiwango cha ushindani kinachotakiwa kwa msimu wa 2026/2027, kufuatia matokeo ya sare…
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetangaza kuufunga kwa muda Uwanja wa New Amaan Complex kwa ajili ya kufanya ukarabati mkubwa wa eneo la kuchezea…
SUNDERLAND, UINGEREZA – Klabu ya Sunderland imefikia makubaliano ya kumsajili beki wa kushoto wa Toulouse, Dayann Methalie, kwa ada ya jumla ya pauni milioni 25.6…
MSHAMBULIAJI raia wa Ghana, Jonathan Sowah, ameanza maisha yake mapya ndani ya kikosi cha Singida Black Stars kwa mtindo wa aina yake, akirudia kile alichokifanya…
KIKOSI cha Simba SC, kinachonolewa na Kocha Mkuu Steve Barker, kimeanza msimu wa 2026/27 wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kishindo baada ya kuibuka na…