Home Blog Page 8
Leo hii Europa League na Conference League hatua za Robo Fainali mechi za kwanza zinapigwa leo. Bashiri na Meridianbet ambapo nafasi ya kuondoka na zaidi ya Mamilioni ipo. Conference League mapema kabisa Chelsea watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Legia Warszawa...
BAO la dakika ya 79 lililofungwa na kiungo Sihle Nduli limetosha kuitupa nje Zamalek ya Misri kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini likiivusha Stellenbosch ikiwafuata Simba. Ushindi huo wa ugenini wa Stellenbosch unaifanya timu hiyo kukutana na Simba,...
Wakati Simba ikijihakikishia kiasi cha Dola 750,000 kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kwa kufuzu nusu fainali ya kombe la Shirikisho Afrika, kocha mkuu wa timu hiyo Fadlu Davids amefichua mipango ya kumsajili kiungo bora mshambuliaji mzawa...
YANGA inajivunia kuwa na wigo mpana wa kufunga mabao inapokwenda kukabiliana na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Alhamisi hii kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar, lakini inakumbuka mara ya mwisho dimbani hapo iliondoka na maumivu...
KIPUTE cha leo pale Azam Complex kimeshikilia mambo mawili makubwa; mosi, ni je Yanga itashinda na kukomaa juu ya msimamo huku ikiipoteza kabisa Azam katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara au Azam itashinda na kuipunguza kasi Yanga...
Meridianbet inakuletea mchezo wa kasino ya mtandaoni uliotengenezwa kwa mandhari ya Kichina, kama jina la sloti hii. Tiger wanajitokeza kama mandhari kuu ya sloti hii, na utataka kuwa na idadi kubwa ya hawa Tiger kwenye nguzo. Ikijumlishwa na bahati...
Inapokuja mechi kubwa ya dabi yoyote duniani kuna vitu vingi ambavyo hutazamwa katika kuuzungumzia ukubwa wa mchezo husika. Uhamisho wenye utata, matokeo yenye kuumiza na hata mechi zilizojaa mikasa ya ubabe na utemi. Na hivi ndivyo inavyokuwa kwa Dabi ya Dar...
HISTORIA imeandikwa! Mnyama ameenda nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mara ya kwanza baada ya ushindi wa penalti 4-1 dhidi ya Al Masry ya Misri kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Na muda mfupi baada ya kumalizika kwa mchezo...
YANGA imeanza mapema harakati za kuboresha kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao huku ikipiga hodi katika Ligi Kuu Kenya kwenye kikosi cha Kenya Police FC. Yanga ambayo hadi sasa imetajwa kuwa katika harakati za kumsajili Jonathan Sowah kutoka Singida...
Kama kawaida leo ni piga nikupige, pale Emirates kitawaka vilivyo yaani kila mtu anapigania pointi 3. Huku Bukayao Saka, kule Kylian Mbappe nani kuibeba timu yake?. Suka jamvi hapa na Meridianbet. Baada ya kutoa sare kwenye mechi yao ya ligi,...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS