KISA YANGA…BARBARA AITWA KUHOJIWA TFF…ATUHUMIWA KUTOA SHUTUMA ZA UONGO…MANARA NAYE ATAJWA…
OFISA Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez atafikishwa mbele ya Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kutoa ushahidi wa...
NI CHICO USHINDI TENA…AISEE KUMBE JAMAA NI’PANCHA’ ILE MBAYA YANI….KAPATA MAJERAHA MENGINE ETI…
Mshambuliaji wa Yanga, Chico Ushindi nafasi yake ya kucheza ndani ya kikosi hicho inaonekana kuwa ngumu baada ya kuwa nje ya uwanja mara kwa...
FT: YANGA SC 4-0 MBEYA KWANZA…HATIMAYE MAYELE KAONA MWEZI…BADO POINTI SITA TU KISHINDO KILIE...
Dakika 90 zinakamilika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam huku Yanga wakiondoka na alama tatu muhimu.Yanga wameitandika timu inayoburuza mkia katika...
SURE BOY, HIMID MAO WARUDI TAIFA STARS….BOCCO, KASEJA WATUPIWA VIRAGO TIMU YA TAIFA…
Kocha Mkuu wa Kikosi cha Taifa Stars Kim Poulsen, ametangaza Kikosi cha wachezaji 28 kitakachoingia kambini kujiandaa kwa mechi za kufuzu AFCON 2023.Katika Kikosi...
SIMBA INAANZA NA STAA HUYU..NI MFUNGAJI BORA UGANDA….YANGA ANDAENI SUTI…MAKAMBO KARUDI KUWAJAZA UPYAA….
Pitia Ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti leo Jumamosi.
SIMBA KUSHUSHA STRAIKA MGHANA…KULIPA MILION MIA SITA KUMPATA…LWANGA KUMPISHA MZAMBIA….PABLO AKUBALI…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi leo Ijumaa.
KUMWEMBE: SIMBA KUZIFUNGA ZILIZOFIKA FAINAL CAF HAIMAANISHI KWAMBA NI TIMU BORA…
KWAMBA klabu mbili za Berkane na Orlando Pirates zilifungwa pale Temeke na Simba na sasa timu hizi zimefika fainali ya kombe la Shirikisho, hii...
WAKATI WAKITAFUTA POINTI ZA UBINGWA….SHABANI DJUMA ‘OUT’ …KAZE AKAZIA JAMBO HILI YANGA…
WAKATI ikihitaji pointi 11 tu katika mechi zake sita zilizosalia ili kutangazwa rasmi kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu Bara, Klabu ya Yanga Jumamosi...
KISA KUPEWA POINTI ZA ‘MEZANI’…JULIA ‘ABUBUJIKWA’ NA HAYA BAADA YA KUPATA POINTI 6...
KOCHA Msaidizi wa Namungo FC, Jamhuri Kihwelo 'Julio', ameonyesha kufurahishwa na timu yake kupata pointi sita kwa siku moja, wakati ikiichapa Biashara United mabao...
BAADA YA MECHI NA AZAM KUISHA KWA SARE…PABLO APATA CHA KUSINGIZIA SIMBA….AWATAJA KINA KAGERE…
PABLO Franco,Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa tatizo ambalo linamsumbua kwa sasa ni ubora wa wachezaji wake hasa kwenye safu ya ushambuliaji.Kwenye mchezo wao...