HIVI NDIVYO JINSI FAINALI YA JANA YA LIGI YA MABINGWA ULAYA ILIVYOWACHA LIVERPOOL NA...
Msimu mzuri wa Liverpool uliwahi kutoa matarajio ya kuvutia matumaini ya kushinda mataji manne na kuisha katikati ya machafuko ya Paris na mchanganyiko wa...
BAADA YA KUIFANYIZIA SIMBA JANA….YANGA WATUA DAR KAMA WOTEE….MSTAA NANE WATIMKA CHAPCHAP…
BAADA ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba, kikosi cha Yanga kimetua jijini Dar es Salaam na kupewa ruhusa ya mapumziko ya siku...
BAADA YA GOLI LAKE LA TIKITAKA KUCHAGULIWA KUWA BORA CAF MSIMU HUU…PAPE SAKHO APEWA...
Mabao mawili aliyofunga Msenegali wa Simba, Pape Ousmane Sakho kwenye Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu yameingia kwenye orodha ya mabao 8 bora ya...
SHIKAMOO FEI TOTO….MGOLI WAKE WAPELEKA SIMANZI MSIMBAZI…WANGETULIA WANGESHINDA GOLI TISA….
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti leo Jumapili.
KUELEKEA MECHI YAO NA COASTL UNION LEO…KOCHA MSOMALI WA AZAM APANGA KUINGIA NA GIA...
Kocha mkuu wa timu ya Azam FC,Abdi Hamid Moallin amefunguka kuwa kwa namna ambavyo amekiandaa kikosi chake anaamini mchezo wa leo Jumapili Mei 29...
A-Z JINSI YANGA WALIVYOINYONGA SIMBA NDANI YA UWANJA …WALITANGULIZA ‘MASHINE’ MBILI MBELE…TABU IKO PALEPALE…
KLABU ya Yanga imefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam baada ya kuifunga klabu ya Simba kwa jumla ya bao 1-0 bao...
NI MADRID TENAAH….WAENDELEZA UBABE WA LIGI YA MABINGWA ULAYA…LIVERPOOL NI SAWA NA SIMBA SC...
Wafalme wa Ulaya, Real Madrid kwa mara nyingine wamefanikiwa kunyakua Kombe la Ligi ya Mabingwa barani Ulaya mbele ya majogoo wa Jiji Liverpool kwa...
MO DEWJI ATANGAZA UAMUZI MGUMU SIMBA…PABLO APATA KIGUGUMIZI CHA GHAFLA…STRAIKA AGOMEA MKATABA…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la SportXtra la leo Jumapili.
BAADA YA KUSHUHUDIA ‘AKIBABULIWA CHA UCHUNGU’…PABLO ASALIMU AMRI KWA NABI…ADAI WALIZIDIWA KILA KONA…
WAMETUZIDI! Ni kauli ya Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco akikiri wapinzani wao, Yanga wamekuwa bora kuliko vijana wake hasa dakika 45 za kipindi...
HIKI HAPA NDIO KILICHOTOKEA BAADA KIBWANA SHOMARI NA KIBU DENIS KUPASUKA VICHWA LEO…MWANUKE ALISHINDWA...
Wachezaji Kibwana Shomari wa Yanga na Kibu Denis wa Simba wamelazimika kukimbizwa hospitali baada ya kupata majeraha katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe...