Trending Stories
View All
WATATU WA AZAM FC HATIHATI KUIKOSA TP MAZEMBE
KESHO Azam FC kuna hatihati ya kuwakosa nyota watatu kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya TP Mazembe kutokana na kutokuwa…
MKWANJA ANAOLIPWA KAZE YANGA ACHA KABISA, MAKAZI YAKE NAYO SIO POA
WAKATI Yanga ikiwa inaongoza ligi, kocha mkuu wa timu hiyo, Mrundi, Cedric Kaze amekuwa akitumia kiasi cha shilingi milioni nane…
SIMBA YAPELEKWA MAHAKAMANI NA RWEYEMAMU
ALIYEWAHI kuwa Meneja wa Simba, Patrick Rweyemamu, anaripotiwa kuishitaki timu hiyo mahakamani. Inadaiwa kuwa, Rweyemanu ambaye aliondolewa Simba mwaka jana…
JEMBE JIPYA YANGA LAPEWA JEZI YA MAPINDUZI, MAZOEZI YAKE NOMA
BAADA ya kutua Bongo Januari 29 na kupokelewa na shangwe kutoka kwa mashabiki na viongozi wa Yanga, Fiston Abdulazak Januari…
AUBA AMPASUA KICHWA ARTETA
PIERRE Emerick Aubameyang, nahodha wa kikosi cha Arsenal kwa sasa bado yupo karantini na haijulikani atarejea lini uwanjani jambo ambalo…
MO SALAH ATUPIA MAWILI WAKATI TIMU YAKE IKISEPA NA POINTI TATU MBELE YA WEST HAM UNITED
WEST Ham United walikubali kichapo cha mabao 3-1 dhidi ya Liverpool, mchezo wa Ligi Kuu England usiku wa kuamkia Januari…
GOMES AWAKAZIA MAZEMBE, ATAJA SABABU ZA SARE NA KUSEPA NA KOMBE
DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wapinzani wao TP Mazembe walikuwa imara muda wote jambo ambalo limewafanya waambulie…
KOCHA YANGA:TUTAFANYA VIZURI NDANI YA LIGI NA KOMBE LA SHIRIKISHO
EDEM Mortotsi kocha wa viungo wa Klabu ya Yanga amesema kuwa anaamini kuwa timu hiyo italeta ushindani ndani ya Ligi…
AZAM FC KUKIPIGA DHIDI YA TP MAZEMBE
KLABU ya Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina kesho itakuwa na kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo wa…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu
BAADA YA SUPER CUP…BARBARA AFUNGUKA MIKAKATI HII MIKUBWA YA KUIPAISHA SIMBA KIMATAIFA..!!
OFISA Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara amesema ana malengo matatu makubwa mbele yake, ambayo anatakiwa kuyatimiza msimu huu. Barbara alisema…
SIMBA MABINGWA WA SIMBA SUPER CUP, YAWASHUKURU MASHABIKI
MTENDAJI Mkuu wa Simba, (CEO) Barbara Gonzalez amesema kuwa mashabiki wanastahili pongezi kwa kujitokeza kwa wingi kuwashuhudia mabingwa wapya wa…
SIMBA SUPER CUP:SIMBA 0-0 TP MAZEMBE
SIMBA Super Cup Uwanja wa Mkapa Kipindi cha Kwanza Zinaongezwa dakika 2 Dakika 45 TP Mazembe wanapata faulo Dakika…
KIKOSI CHA TP MAZEMBE KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA SIMBA, UWANJA WA MKAPA
KIKOSI cha TP Mazembe kitakachoanza leo dhidi ya Simba, Uwanja wa Mkapa, Simba Super Cup. Mounkoro Ibrahim Tandi Mwape Arsene…
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA TP MAZEMBE, SIMBA SUPER CUP
IKIWA leo ni kilele cha Simba Simba Super Cup Uwanja wa Mkapa ambapo Simba itamenyana na TP Mazembe, hiki hapa…
MASHABIKI WA SIMBA V TP MAZEMBE WAPEWA TIKETI BURE NA SPOTI XTRA
TIMU ya Masoko kutoka Kampuni ya Global Group kambao ni wachapishaji wa magazeti namba moja kwa habari za michezo kupitia…