Trending Stories
View All
MTIBWA SUGAR YAUMIZWA NA KUVULIWA UBINGWA WA MAPINDUZI
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umeweka wazi kwamba kuvuliwa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi na Simba kumewaumiza kwa kuwa haikuwa malengo…
BREAKING:BEKI STARS ASAINI YANGA
BEKI chipukizi wa Klabu ya Mtibwa Sugar amesaini rasmi dili la kuitumikia Klabu ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu,…
YANGA KUTUMIA KOMBE LA MAPINDUZI KUSAKA MEJEMBE YA KAZI
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa sasa utatumia mashindano ya Kombe la Mapinduzi ambalo linaendelea kumpata nyota mmoja ambaye ataingia…
JEMBE JIPYA LA SIMBA HILI HAPA, LIPO TIMU YA TAIFA YA ZIMBABWE
ANAITWA Kelvin Njalubo Moyo ana umri wa miaka 27 raia wa Zimbwabwe amekipiga ndani ya Klabu ya Chippa United ya Afrika…
MANCHESTER UNITED YAWANIA NYOTA ANAYEWINDWA NA PSG
IMERIPOTIWA kwamba Manchester United ipo tayari kuingia kwenye vita na Klabu ya Paris Saint-Germain,(PSG) kuwania saini ya kiungo Romain Faivre.…
BEKI STARS AKUBALI KUSAINI DILI JIPYA NDANI YA YANGA
BEKI wa Klabu ya Mtibwa Sugar, Dickson Job ambaye kwa sasa yupo kwenye kambi ya timu ya Taifa ya Tanzania,…
LUIS MIQUISSONE HAYUPO KWENYE KIKOSI CHA SIMBA
NYOTA wa kikosi cha Simba Luis Miquissone kwa sasa yupo chini ya uangalizi wa jopo la madaktari akipewa huduma baada…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu
RASMI NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI NI AZAM FC V YANGA
NAHODHA wa Klabu ya Azam FC, ambaye ni beki mkongwe Agrey Moris dakika ya 62 amepachika bao la ushindi…
VIDEO:HUYU NDIYE KOCHA WA SIMBA
BEKI HUYU MZAWA AINGIA ANGA ZA YANGA
DICKSON Job beki chipukizi ndani ya Klabu ya Mtibwa Sugar yenye maskani yake Turiani, Morogoro anatajwa kuingia kwenye rada za…
NI SIMBA V NAMUNGO NUSU FAINALI, YANGA YAMSUBIRI MSHINDI WA LEO
KOMBE la Mapinduzi limefika patamu ambapo leo mchezo mmoja utachezwa Uwanja wa Amaan kati ya Azam FC dhidi ya Malindi…
MITAMBO HII YA MABAO YANGA ILILETWA LEO
MICHEL Sarpong, mshambuliaji wa Klabu ya Yanga ambaye alijiunga na Klabu hiyo akitokea Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda leo…
ARGUERO ANUKIA KUIBUKIA PSG
IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Paris Saint-Germain,(PSG) Mauricio Pochettino anahitaji saini ya mshambuliaji wa Manchester City,Sergio Aguero. Kwa mujibu…
DECLAN RICE AGOMEA KUIBUKIA MANCHESTER UNITED
NYOTA wa Klabu ya West Ham United, Declan Rice imeelezwa kuwa amemwambia rafiki yake kwamba hana mpango wa kujiunga…
MTAMBO WA MABAO NDANI YA AZAM FC KAZINI TENA LEO
MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Azam FC, Mpiana Monzinzi ambaye ni ingizo jipya leo anatarajia kuongoza safu ya ushambuliaji kwenye…