Trending Stories
View All
BIASHARA UNITED YAGAWANA POINTI MOJAMOJA NA AZAM FC KARUME, MARA
KIKOSI cha Biashara United, wanaopenda kujiita Wanajeshi wa mpakani leo Novemba 30 wamelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya…
UGANDA YATINGA FAINALI CECAFA
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Uganda chini ya miaka 20 leo Novemba 30 kimetinga hatua ya fainali ya…
USHINDI MBELE YA WANAIGERIA WAIPA MATUMAINI SIMBA KUTUSUA KIMATAIFA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa namna ambavyo wameanza kwenye mchezo wa awali wa Ligi ya mabingwa baada ya kushinda…
NUSU FAINALI KOMBE LA CECAFA NI MWENDO WA REKODI TU
LEO macho na maskio ya mashabiki wa mpira Bongo kwa muda vitaweka nguvu kubwa Arusha ambapo mashindano ya Cecafa kwa…
FA KUMFANYIA UCHUNGUZI CAVAN ISHU YA UBAGUZI WA RANGI
EDINSON Cavan nyota wa Manchester United anakabiliwa na rungu kutoka Shirikisho la Soka nchini Uingereza (FA) baada ya kuhusishwa…
AZAM FC: SIO KIPIGO CHA YANGA TU, TIMU ILIKUWA HAICHEZI MPIRA UNAOELEWEKA
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa haukuwa na sababu ya kuendelea na Kocha Mkuu Aristica Cioaba raia wa…
SIMBA YAANZA SAFARI KUREJEA DAR KUWAVUTIA KASI WAZEE WA FIGISUFIGISU
KLABU ya Simba leo Novemba 30 inataraja kuanza safari ya kurejea Tanzania wakitokea nchini Nigeria ambapo walikuwa kwenye majukumu ya…
SVEN: TUNA KAZI NGUMU YA KUFANYA KIMATAIFA
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa licha ya kushinda mchezo wa kwanza kwenye Ligi ya Mabingwa hatua ya…
NGORONGORO HEROES KAZINI LEO HATUA YA NUSU FAINALI
KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes, Jamhuri Kihwelo amesema kuwa anaamini…
CAVAN AFANYA YAKE AIBEBA UNITED AKITOKEA BENCHI
MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Manchester United, Edinson Cavan, jana Novemba 29 aliingia akitokea benchi na kutupia mabao mawili na kuifanya…
MSHAMBULIAJI WA SIMBA AIPIGIA HESABU YANGA
IMEELEZWA kuwa nyota wa Simba Charles Ilanfya yupo kwenye hesabu za kutua ndani ya Klabu ya Yanga kwa mkopo.…
AZAM FC KAMILI GADO KUIVAA BIASHARA UNITED
LEO kikosi cha Azam FC kitakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Biashara United mchezo utakaochezwa Uwanja wa…
BEKI WA KULIA WA YANGA KIBWANA SHOMARI ATOA KAULI YA MATUMAINI
BEKI wa kulia wa Klabu ya Yanga, Kibwana Shomari amesema kuwa kwa sasa anaendelea vizuri hivyo ana matumaini ya kurejea…
OLE GUNNER: FERNANDES KAMA RONALDO
OLE Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa nyota wake Bruno Fernandes ni kama Cristiano Ronaldo. Hivi…
LIGI YA MABINGWA: PLATEAU UNITED 0-0 SIMBA
Uwanja wa New Jos Ligi ya Mabingwa Afrika Novemba 29, hatua ya awali Kipindi cha kwanza Plateau United 0-0 Simba…
ZIDANE: NILIMWAMBIA MARADONA KWAMBA NI MCHEZAJI BORA
ZINADINE Zidane, Kocha Mkuu wa Real Madrid amesema kuwa alipata bahati ya kuzungumza na Diego Maradona na alimwambia kwambe…