Trending Stories
View All
NYOTA WANNE WA YANGA WAWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA NOVEMBA
NYOTA wanne wa Klabu ya Yanga wanapambania tuzo ya mchezaji bora kwa mwezi Novemba ambao umekamilika jana. Ikiwa chini ya…
PIALALI ALIYEMKALISHA TINAMPAY, MTANGO WATOA NENO LA SHUKRANI
MABONDIA wa ngumi za kulipwa waliokuwa na mapambano ya kimataifa Novemba 28, mwaka huu, Idd Pialali na Salim Mtango, leo…
SIMBA WATUA ARDHI YA TANZANIA
KIKOSI cha Simba leo Desemba Mosi kimereja salama ndani ya ardhi ya Tanzania baada ya kuanza safari jana Novemba…
M-Bet YAZINDUA KAMPENI YA ZAMU YAKO, YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI 94
KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha ya M-Bet imezindua kampeni mpya ijulikanayo kwa jina la ‘Ni Zamu Yako’ ambayo imekwenda sambamba na…
KOCHA ARSENAL HANA HOFU YA KUCHIMBISHWA
KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amesema hana hofu ya kufukuzwa licha ya kuwa timu yake imeendelea kuwa na matokeo…
SIMBA YAPIGA HODI CAF
LICHA ya Simba kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Plateau United, lakini Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara…
KMC YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA DODOMA JIJI
UONGOZI wa KMC umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji…
KOCHA YANGA ATAJWA KUIBUKIA NDANI YA AZAM FC
IMERIPOTIWA kuwa aliyekuwa kocha wa zamani wa timu ya Yanga, George Lwandamina yupo kwenye hesabu za Klabu ya Azam FC…
AZAM FC BADO WANAUHITAJI UBINGWA
KIUNGO wa Klabu ya Azam, Salum Abubakar ‘Sure Boy’ amefunguka kuwa changamoto ya kupata matokeo mabaya kwenye michezo yao…
JIMENEZ AZUNGUMZIA HALI YAKE
MSHAMBULIAJI wa Wolves, Raul Jimenez amezungumza kwa mara ya kwanza kupitia twitter baada ya kufanyiwa upasuaji kutokana na mshtuko kwenye…
NGORONGORO HEROES MZIGONI TENA BAADA YA KUFUZU AFCON
USHINDI walioupata jana, Ngorongoro Heroes wa bao 1-0 dhidi ya Sudani Kusini umewapa nafasi ya kutinga michuano ya Kombe la…
MSHAMBULIAJI SIMBA AFUNGUKIA ISHU YAKE YA KUTUA YANGA
IMEELEZWA kuwa nyota wa Simba, Charlse Ilanfya yupo kwenye hesabu za kutolewa kwa mkopo ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na…
JKT TANZANIA YAKWAMA KUSEPA NA POINTI TATU NDANI YA DAKIKA 450
KIKOSI cha JKT Tanzania kipo kwenye wakati mgumu kwa sasa baada ya kushinda mbele ya Mwadui FC kwa mabao 6-1…
SAFU YA USHAMBULIAJI YANGA YAMLIZA KAZE
LICHA ya kupata ushindi kwenye mechi zake mbili mfululizo na kusepa na pointi sita zote mbele ya Azam FC, Novemba…
DAKTARI WA MARADONA AFANYIWA UCHUNGUZI KUHUSIKA NA KIFO GWIJI HUYO
WAENDESHA mashitaka nchini Argentina wanamchunguza daktari wa Diego Maradona, Leopoldo Luque, wakimshuku kwa kuua kufuatia kifo cha nyota huyo wa…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumanne, nakala yake ni jero tu usikubali kukosa nakala yako