Uncategorized

OLE GUNNER: FERNANDES KAMA RONALDO

admin November 29, 2020 4:47 pm

 


OLE Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa nyota wake Bruno Fernandes ni kama Cristiano Ronaldo. 

Hivi karibuni baada ya nyota huyo kufanya vizuri ndani ya United amekuwa akifananishwa na Ronaldo ambaye aliwahi kuitumikia timu hiyo na wote ni raia wa Ureno.

Fernandes amefunga jumla ya mabao 21 katika mechi 35 ndani ya United tangu atue hapo Januari mwaka huu akitokea Sporting Lisbon na ana jumla ya asisti 15.

Solskjaer amesema:”Fernandes ni kama Ronaldo yeye amekuwa msaada mkubwa kwa wachezaji kuwahamasiha wapambane zaidi wakiwa ndani ya uwanja hilo ni jambo nzuri,” .

LIGI YA MABINGWA: PLATEAU UNITED 0-0 SIMBA BEKI WA KULIA WA YANGA KIBWANA SHOMARI ATOA KAULI YA MATUMAINI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply