Trending Stories
View All
OKTOBA 26 SIMBA KAZINI TENA
KIKOSI cha Simba kina kibarua kingine tena Oktoba 26 kumenyana na timu ya Ruvu Shooting ambayo nayo ni mwendo…
YANGA YAWASILI MWANZA, MMOJA KUWAKOSA KMC KESHO
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze raia wa Burundi leo Oktoba 23 kimewasili salama Mwanza, tayari…
VITA YA UFUNGAJI BORA MAMBO NI MOTO, AZAM YAPACHIKA WAWILI,
KWENYE orodha ya wafungaji Bongo nyota wa timu ya Azam FC, Prince Dube ni kinara wa kutupia akiwa nayo…
KOCHA YANGA: MUHIMU POINTI TATU MENGINE YATAFUATA
CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kikubwa ambacho anakihitaji kuona kutoka kwa wachezaji wake ni kupata ushindi utakaowafanya…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi
KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI USIPANGE KUKOSA NAKALA YAKO
KESHO ndani ya gazeti la Championi Jumamosi usipange kukosa nakala yako
RATIBA YA SUPER U 20 ITAKAYOANZA KUFANYIKA KESHO HII HAPA
KESHO, Oktoba 24, kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi yataanza mashindano ya vijana chini ya miaka 20 kutoka vilabu…
YANGA YAANZA KUSUKA KIKOSI KAZI CHA KUIMALIZA SIMBA NOVEMBA 7
KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze, anataka kukibadilisha kikosi chake hicho kabla ya kuwavaa wapinzani wao Simba, Novemba 7. …
JOTO LA DABI LIMEANZA KUPANDA, SIMBA YAIFANYIA USHUSHUSHU YANGA
HATIMAYE Klabu ya Simba imeanza kuichunguza Yanga kuanzia ilipopata kocha mpya Cedric Kaze. Yanga ambayo imejifungia Kigamboni jijini Dar es…
PRINCE DUBE NI HABARI NYINGINE NDANI YA LIGI KUU BARA
MASHABIKI wamelinganisha kasi aliyoanza nayo mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita, Meddie Kagere na hii aliyoanza nayo…
MTIBWA SUGAR:TUTAFANYA VIZURI 2020/21
THOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kwa sasa wanaamini watafanya vizuri licha ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo,…
SIMBA MAJANGA TUPU NYOTA WATANO KIKOSI CHA KWANZA OUT
KUUMIA kwa beki wa kulia wa Simba, Shomari Kapombe jana Oktoba 22 kunafanya jumla ya wachezaji watano wa Simba kuwa…
MECHI ZA UWANJA WA MKAPA ZAPELEKWA UHURU
MECHI zilizopangwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa sasa kuchezwa Uwanja wa Uhuru
SIMBA KUREJEA BONGO BAADA YA KUCHEZESHWA GWARIDE NA PRISONS
BAADA ya mchezo wa jana Oktoba 22 kwa kufungwa bao 1-0 kikosi cha Simba kimeanza safari leo kurejea Dar…
KMC YAANZA KUIVUTIA KASI YANGA MWANZA
KIKOSI cha KMC kimeshaweka kambi Mwanza kwa sasa kwa ajili ya kujiwinda na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya…
GLOBAL FC YATUMA SALAMU E MEDIA
KUELEKEA kwenye mechi ya kirafiki kati ya wababe wa mji Global FC dhidi ya E Media, Kocha Mkuu wa kikosi…