Trending Stories
View All
HIVI NDIVYO NYOTA WA KAGERA SUGAR ANAVYOLINDA KIPAJI CHAKE NA KUCHUKUA TAHADHARI
YUSUPH Mhilu, nyota wa timu ya Kagera Sugar amesema kuwa kwa sasa anaendelea na mazoezi ya kulinda kipaji chake ili…
HAALAD: LAZIMA TUUNGANE KUPAMBANA NA CORONA, USIJIHISI UPO PEKE YAKO
NYOTA Erling Braut Haalad anayekipiga Dortmund kuhusu Virusi vya Corona ni lazima tuungane wote katika mapambano.Virusi vya Corona vimekuwa janga…
KUHUSU GADIEL MICHAEL NA ZIMBWE NDANI YA SIMBA SOMO LIPO HIVI
GADIEL Michael Mbaga alitua Simba kama sahihisho la Mohammed Hussein Zimbwe kwa maana ya kuwa akionekana ni bora kwa mambo…
AINSELY CORY HANA UHAKIKA NDANI YA ARSENAL
AINSLEY Cory Maitland-Niles, raia wa Uingereza hana uhakika wa kubaki ndani ya kikosi cha Arsenal kwa sasa. Mikel Arteta, Kocha…
HESABU ZA MBARAKA YUSUPH ZIPO NAMNA HII
MBARAKA Yusup h, mshambuliaji wa Azam FC amesema kuwa kwa sasa anaendelea na mazoezi binafsi akiwa nyumbani ili kurejea kwenye…
SIMBA YAMPA PONGEZI KAHATA
UONGOZI wa Simba umempa pongezi Francis Kahata kwa kujitolea kwa jamii yake nchini Kenya.Kahata ambaye kwa sasa yupo nchini Kenya…
HII HAPA TIMU AMBAYO NYOTA GUSTAVO WA BRAZIL ALICHEZA MECHI NYINGI
LUIS Gustavo Dias ni kiungo raia wa Brazil anayekipiga ndani ya klabu ya Fenarbahce kwa sasa.Kwenye maisha yake ya soka…
MORRISON: MUHIMU KUJIWEKA FITI NA KUCHUKUA TAHADHARI
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa kazi kubwa kwa sasa ni kujiweka fiti ilikuwa imara.Morrison amekuwa kwenye ubora…
NAHODHA WA MBWANA SAMATTA AOMBA RADHI
JACK Grealish, nahodha wa Aston Villa ameomba radhi baada ya kuvunja agizo la Serikali la kujifungia ndani wakati huu wa…
TANZIA:KIONGOZI SIMBA ATANGULIA MBELE ZA HAKI
TAARIFA iliyotolewa leo Machi 31 na Uongozi wa Simba kupitia Ukurasa wa Instagram imeeleza hivi:-
MEDDIE KAGERE: NINAIPENDA KAZI YANGU
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa anapenda kazi yake ya mpira jambo linalomfanya afurahie kufunga kila wakati akiwa ndani…
MESSI: TULICHELEWA KUKATWA MSHAHARA
LIONEL Messi nahodha wa Barcelona, amesema kuwa jambo la wachezaji kukatwa mshahara limechelewa kufanyika kwa sababu wachezaji walikuwa wanapambana kuisadia…
AISHI MAULA ALIKUBALI BAO ALILOFUNGWA NA MORRISON UWANJA WA TAIFA
AISHI Manula mlinda mlango namba moja wa Simba amesema kuwa Bernard Morrison wa Yanga anastahili pongezi kwa kumtungua bao kwenye…
NYOTA WA KMC ATAJA SABABU ZA MEDDIE KAGERE KUFUNGA MABAO
MSHAMBULIAJI wa KMC, Salim Aiyee amesema kuwa sababu kubwa inayomfanya Meddie Kagere wa Simba kufunga mabao mengi ni muunganiko anaoupata…
NONGA: UBORA WA WACHEZAJI WENZANGU UNANIFANYA NAKUWA BORA
PAUL Nonga, nahodha wa Lipuli amesema kuwa kinachomfanya kuwa bora ndani ya Lipuli ni kutokana na ubora wa wachezaji anaocheza…
MBELGIJI WA SIMBA ATAJA KINACHOWAWEKA BENCHI AJIBU, MLIPILI,NDEMLA
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kama nyota wake wanaokosa namba kikosi cha kwanza wanataka kuanza lazima wapambane…