Trending Stories
View All
LIVERPOOL YAJIPANGA KUMREJESHA NYOTA WAO WA ZAMANI STERLING WA CITY
IMERIPOTIWA kuwa timu ya Liverpool ipo kwenye mpango wa kumrejesha nyota wao wa zamani Raheem Sterling anayekipiga ndani ya Manchester…
MECHI KALI ZA NIYONZIMA ALIPOKUWA SIMBA HIZI HAPA
HARUNA Niyonzima alipokuwa akikipiga Simba msimu wa 2018/19 alifeli kucheza mechi nyingi kutokana na majeraha ya kifundo cha mguu na…
NIYONZIMA WA YANGA ATAJA KILICHOMFELISHA SIMBA
HARUNA Niyonzima, raia wa Rwanda anayekipiga ndani ya Yanga kwa sasa amesema kuwa kilichomfelisha kucheza mechi nyingi alipokuwa ndani ya…
BARCELONA BADO INA HESABU ZA KUINASA SAINI YA NEYMAR
NEYMAR da Silva Santos Júnior nyota wa PSG inayoshiriki Ligue 1 yupo kwenye hesabu za kurudishwa ndani ya Barcelona.Akiwa ndani ya PSG…
MAJUU MWENDO WA 11 UPO NAMNA HII
WAKATI La Liga ikiwa imesimama kutokana na kupambana na maambukizi ya Virusi vya Corna kuna wachezaji ambao wametupia mabao 11…
FEI TOTO: NINACHUKUA TAHADHARI YA CORONA NA KUFANYA MAZOEZI
KIUNGO Mkabaji wa timu ya Yanga, Feisal Salum, ‘Fei Toto’ amesema kuwa kwa sasa anaendelea kufanya mazoezi ili kuwa bora…
BALAA LA LEWANDOWSKI LIPO NAMNA HII
ROBERT Lewandowski nyota anayekipiga ndani ya klabu ya Bayern inayoshiriki Bundeslinga anakimbikza kwa kucheka na nyavu.Amefunga mabao 25 amecheza mechi…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA BETIKA, JIPATIE NAKALA YAKO NI BURE
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele GAZETI la BETIKA, lipo mtaani nakaa yake ni bure kabisa
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatano, lipo mtaani una nafasi ya kujishindia ndinga
KOCHA LIVERPOOL ATAJA KINACHOMBEBA SALAH
MOHAMED Salah Hamed Mahrous Ghaly ndio jina lake huyu nyota anayekipiga ndani ya Liverpool akiwa ni raia wa Misri na…
HUYU HAPA ANAMKIMBIZA CR 7 KWA MTINDO HUU
SERIE A Ligi Kuu ya Italia kwa sasa imesimama kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.Mpaka inasimama vinara wao kwa utupiaji…
AZAM FC YAMTAKA BOCCO KUREJEA NYUMBANI
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa ni wakati wa nahodha wa Simba, John Bocco kurejea Azam FC kwa kuwa ndio…
KIUNGO MPYA WA AZAM FC APEWA PROGRAMU YAKE ILI KUFANYA MAKUBWA
KLABU ya soka ya Azam imempatia programu maalumu ya mazoezi mchezaji wake aliyesajiliwa katika dirisha dogo la mwezi Januari, Khleffin…
DITRAM NCHIMBI: NINACHUKUA TAHADHARI YA CORONA NA KULINDA KIPAJI
DITRAM Nchimbi, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa kwa sasa anaendelea na programu aliyopewa na Kocha Mkuu Luc Eymael ili kulinda…
HAWA HAPA WANAHUSIKA KWENYE MABAO YA MUUAJI WA SIMBA
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa mabao yake yanachangiwa kwa kiasi kikubwa na dua maalum ambazo zinafanywa na…