Trending Stories
View All
MKUDE; WENGI WANASEMA JUU YANGU,SIWEZI KUWAZUIA
JONAS Mkude, kiungo mkabaji ndani ya klabu ya Simba amesema kuwa watu wengi wanaomsema vibaya hawezi kuwazuia kwa kuwa wameamua…
HAWA HAPA NI MWENDO WA SABASABA NDANI YA LIGI KUU BARA
LIGI Kuu Bara kwa sasa imesimama kutokana na kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.Wachezaji wanaendelea kujifua kulingana na programu ambazo…
GALLAS BADO ANAKOMAA KUJIWEKA FITI
WILLIAM Lucian ‘Gallas’, beki wa Polisi Tanzania, amesema kuwa anatumia muda mkubwa kufanya mazoezi ili kuwa fiti endapo Ligi Kuu…
KUMEKUCHA SIMBA, MABEKI WAWILI PANGA LINAWAHUSU
MABEKI wawili ndani ya Simba inaelezwa kuwa nafasi yao ya kubaki ndani ya kikosi hicho kwa msimu ujao wa 2020/21…
MANCHESTER UNITED YAKUBALI YAISHE KWA POGBA
MANCHESTER United inayotumia Uwanja wake wa Old Trafford imemuweka sokoni kiungo wao Paul Pogba na kukubali yaishe juu yake kwani…
HIKI HAPA KINACHOMBEBA PAUL NONGA WA LIPULI
PAUL Nonga, nahodha wa Lipuli amesema kuwa anaweza kikubwa kilicho nyuma ya mafanikio yake ni kuamini uwezo wake na kujituma.Nonga…
BARCELONA YAMUWEKA SOKONI NYOTA WAKE COUTINHO
INAELEZWA kuwa Bayern Munich inataka kumchukua Philippe Coutinho ili awe mali yao jumla ndani ya kikosi hicho.Raia huyo wa Brazil…
BERNARD MORRISON AWAPA SOMO HILI WACHEZAJI WENZAKE
BERNARD Morrison Kiungo Mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa kikubwa anachokifanya kwa sasa akiwa nyumbani ni kufanya mazoezi binafsi ili kulinda…
HIVI NDIVYO NYOTA WA POLISI TANZANIA ANAVYOLINDA KIPAJI CHAKE WAKATI HUU WA MAPUMZIKO
Marcel Kaheza, mshambuliaji wa Polisi Tanzania amesema kuwa kwa muda huu wa mapumziko ya Ligi Kuu Bara anafanya mazoezi binafsi…
SAINI YA JADON SANCHO DILI KUBWA KWA TIMU KUBWA, CHELSEA NA UNITED ZAMUWANIA
KLABU ya Chelsea inayonolewa na Kocha Mkuu Frank Lampard imevutiwa na uwezo wa nyota anayekipiga ndani ya Borrusia Dortmund, Jadon…
YANGA YATOA TAMKO KUHUSU KUJIUZULU KWA VIONGOZI WAO PAMOJA NA WALE WALIOJIENGUA
HASSAN Bumbuli, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa kilichotokea kwa baadhi ya viongozi wa Kamati ya Utendaji ndani ya Yanga…
JISHINDIE GARI, BABA LAO HIVI NDIVYO ILIVYOTINGA KAWE
WASOMAJI mbalimbali wa magazeti ya Championi na Spoti Xtra wa maeneo ya Kawe, Mikocheni hadi Msasani mapema jan walijaza kuponi…
MAJEMBE YA SIMBA HAYA HAPA NI NDANI YA SPOTIXTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SpotiXtra Jumapili, lipo mtaani jipatie nakala yako kwa jero tu na kuna nafasi…
MASHINE NNE ZA KAZI KUTUA JANGWANI
IMEELEZWA kuwa Uongozi wa Yanga unapiga hesabu za kushusha mashine nne za kazi ndani ya kikosi hicho ili kuongeza nguvu…
HIMID MAO: NIPO SALAMA HUKU MISRI
HIMID Mao, kiungo mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga nchini Misri kwenye Klabu ya ENPPI amesema kuwa anaendelea…
DAKIKA ZA IBRAHIMU AJIBU NDANI YA SIMBA ZIPO NAMNA HII
IBRAHIM Ajibu kiungo mshambuliaji ndani ya Simba amecheza mechi 16 ambazo ni dakika 1,440 kati ya 28 ambazo ni dakika…