Trending Stories
View All
KOCHA MANCHESTER UNITED AKOSHWA NA MIGUSO YA IGHALO
ODION Ighalo nyota mpya wa Manchester United amezidi kuimarika ndani ya kikosi hicho baada ya kuonyesha kiwango bora kwenye mchezo…
SIMBA YAMPONZA MZUNGU WA AZAM FC
ARSTICA Cioaba,raia wa Romania, Kocha Mkuu wa Azam FC ametozwa faini ya kiasi cha shilingi laki tano (500,000) kwa kosa…
HIZI HAPA MECHI 10 ZA SIMBA ZILIZOBAKI KUKAMILISHA MZUNGUKO WA PILI
KIKOSI cha Simba kikiwa kimecheza mechi 28 kimebakiza mechi 10 kukamilisha mzunguko wa pili.Mechi zake 10 zilizobaki watakutana na wapinzani…
ARTETA KOCHA MKUU WA ARSENAL NA KIUNGO WA CHELSEA CALLUM HUDSON-0DOI WA CHELSEA WAGUNDULIKA NA CORONA
KOCHA Mkuu wa Arsenal, Mikel Arteta na kiungo wa timu ya Chelsea, Callum Hudson-Odoi wote wamegundulika na Virusi vya Corona…
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa UKURASA wa nyuma GAZETI la CHAMPIONI Ijumaa
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele GAZETI la CHAMPIONI Ijumaa
KILICHOIPOTEZA YANGA UWANJA WA UHURU MBELE YA KMC HIKI HAPA
NAHODHA wa Yanga, Papy Tshishimbi amesema kuwa sababu iliyowafanya wakapoteza mbele ya KMC ni kubadilishiwa uwanja uliopangwa kuchezwa awali jambo…
IGHALO ALETA MATUMAINI MAPYA NDANI YA MANCHESTER UNITED
USHINDI wa mabao 5-0 walioupata Manchester United mbele ya LASK kwenye mchezo wa Europa League unamfanya nyota wao mpya Odion…
SIMBA YAOMBA RADHI KISA KICHAPO CHA MABAO 8 WALICHOIPA SINGIDA UNITED
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anaomba radhi kwa mashabiki na timu ya Singida United kwa kuipa kichapo…
KMC WATAJA KILICHOWAPA USHINDI MBELE YA YANGA
SADALA Lipangile, mshambuliaji wa KMC amesema kuwa kilichowapa ushindi mbele ya Yanga ni juhudi za wachezaji kujituma ndani ya uwanja…
MSIMAMO WA LIGI KUU BARA UPO NAMNA HII
MSIMAMO wa Ligi Kuu Bara baada ya ushindi wa KMC jana Uwanja wa Uhuru, imepanda kwa nafasi mbili kutoka nafasi…
KOCHA LIVERPOOL AMKINGIA KIFUA MLINDA MLANGO WAKE, ATAJA SABABU ZA KICHAPO
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa kichapo walichokipata mbele ya Atletico Madrid kwa kufungwa mabao 3-2 ni uzembe…
KICHAPO CHA BAO 1-0 WALICHOPOKEA YANGA MBELE CHAIKWEZA KMC KWA NAFASI MBILI
KIKOSI cha Yanga leo kimekubali kichapo cha bao 1-0 mbele ya KMC mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa…
MEDDIE KAGERE WA SIMBA ATAJA SABABU YA KUCHEKA NA NYAVU
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa kikubwa kinachompa mafanikio ni ushirikiano anaoupata kutoka kwa wachezaji wenzake na kutimiza majukumu…
MOURINHO: TATIZO LA KIKOSI CHANGU SIO LA KUISHA KESHO, MAMBO NI MAZITO
JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Spurs amesema kuwa kwa sasa kwake mambo ndani ya kikosi hicho ni magumu kutokana na…