Trending Stories
View All
KUMEKUCHA JANGWANI, HAWA HAPA PANGA LINAWAHUSU JUMLAJUMLA
ERICK Kabamba, Yikpe Gnamien,David Molinga, ni miongoni mwa wachezaji wa kigeni ambao wanajadiliwa na uongozi wa Yanga ili kujua hatma…
HASIRA ZA KADI NYEKUNDU YA BOBAN, MABAO 8 YA SIMBA KWA SINGIDA UNITED ZIMEISHIA KWA MBEYA CITY
BAADA ya kupewa zigo la mabao na Simba Uwanja wa Taifa wa mabao 8-0 huku nyota wao Haruna Moshi ‘Boban’…
TIMU YA TAIFA YA TANZANIA YA WANAWAKE YAPOTEZA MBELE YA UGANDA LEO
TIMU ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania chini ya miaka 17 leo imefungashiwa virago kwenye safari ya kuwania kufuzu Kombe…
ASTON VILLA YA MBWANA SAMATTA YATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WASIOJIWEZA
ASTON Villa na Brighton zote timu za England zimechangia zaidi ya milo 1300 kama misaada kwa wasio na makazi baada…
LIGI KUU ENGLAND IKISITISHWA JUMLA, LIVERPOOL KUPEWA UBINGWA WAO
IMEELEZWA kuwa endapo kutakuwa na kipindi kirefu cha kusimamishwa Ligi Kuu ya England kutokana na kampeni ya kuzuia kusambaa kwa…
HAYA MADUDU YANAYOENDELEA NDANI YA LIGI KUU BARA NA LIGI DARAJA LA KWANZA YASIFUMBIWE MACHO
BADO kuna mambo ambayo yanaendelea kwenye Ligi Kuu Bara pamoja na Ligi Daraja la Kwanza yanafurahisha na kuumiza pia wakati…
KOCHA SIMBA AITOA TIMU YAKE KWENYE MICHUANO YA KIMATAIFA
PATRICK Aussems, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba ambaye alipigwa chini akiwa ameiongoza timu hiyo msimu huu wa 2019/20 kwenye mechi…
KESHO NI NAMUNGO V YANGA NI VITA YA KIBABE
KESHO kikosi cha Yanga kitakuwa na mechi ya Ligi Kuu Bara itakayochezwa Uwanja wa Majaliwa dhidi ya Namungo FC.Namungo FC…
CALLUM HUDSON-ODOI, NYOTA WA CHELSEA ALIYEKUTWA NA CORONA ASEMA ANAENDELEA VIZURI
MSHAMBULIAJI wa Chelsea, Callum Hudson-Odoi amesema kuwa kwa sasa anaendelea vizuri baada ya kufuata kanuni za afya ili kupona virusi…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZEI LA CHAMPIONI JUMAMOSI, NDIGA MPYA INAKUHUSU
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi, nafasi ya kushinda Gari mpya kwa 800 ni yako rahisi sana…
MBELGIJI WA YANGA AWASHANGAA WACHEZAJI WAKE KUPOTEZA MBELE YA KMC
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa ameshangazwa na wachezaji wake kupoteza mbele ya KMC licha ya kutoka kuimaliza…
NAMUNGO YAZITAKA POINTI TATU ZA YANGA
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo amesema kuwa kwa sasa kikosi chake kinajiandaa na mchezo wake wa Ligi Kuu Bara…
SABABU YA AJIBU, KICHUYA, KAKOLANYA KUSOTA BENCHI HII HAPA, MZUNGU AWAPA MASHARTI MAZITO
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wake wote ni wazuri ila anashindwa kuwatumia kutokana na kushindwa kumshawishi…
HII NOMA, MUUAJI WA SIMBA AWAPIGA MKWARA WA MAANA WATANI ZAKE
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa watani zake wa jadi Simba washukuru kwa kuwa aliumia angewaliza kwa mabao…
NYOTA SIMBA: USHINDANI WA NAMBA HAUKWEPEKI DUNIANI KOTE
GADIEL Michael, beki wa Simba amesema kuwa ushindani wa namba kwenye timu ni jambo la kawaida duniani kote na linaleta…
WABELGIJI WOTE WA YANGA NA SIMBA WAFANYA YAO SASA, NI NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI
NDANI ya CHAMPIONI jJumamosi kuna kila kitu kuhusu kkusimamishwa kwa Ligi Kuu England, kesho Jumamosi, Machi 14.