Trending Stories
View All
YANGA: HATUNA HOFU, TUPO TAYARI KUICHAPA SIMBA
UONGOZI wa Yanga, umesema kuwa upo tayari kwa mchezo wao wa kesho, Machi 8 dhidi ya Simba utakaochezwa Uwanja wa…
CIOABA NA MINZIRO KWENYE MTIHANI MWINGINE LEO TAIFA
AZAM FC, iliyo chini ya Arstica Ciaoba, leo ina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Alliance kwenye mchezo wa…
SPURS YAHAHA KUMBAKIZA KANE NDANI YA KIKOSI
HARRY Kane nyota wa timu ya Spurs inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za kusepa ndani ya klabu hiyo kwenye majira…
SIMBA: TUNAZITAKA POINTI TATU ZA YANGA
BEKI Kisiki wa Simba, Pascal Wawa amesema kuwa wanapiga hesabu kubwa kuona namna gani watashinda mchezo wao mbele ya Yanga…
YANGA V SIMBA, HUYU ANASHIIKILIA REKODI YA KUWATUNGUA WAPINZANI WAO MACHI 8, KESHO SWALI LITAJIBIWA
KESHO Machi 8 2020, Uwanja wa Taifa,Simba itakuwa ugenini ikicheza mchezo wake wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga. Simba…
JINA LA KIPA NAMBA MOJA YANGA ATAKAYEOKOA MICHOMO YA KAGERE LIMEVUJA
IMEELEZWA kuwa kuna nafasi kubwa ya nyota wa Yanga Farouk Shikalo kukaa langoni kwa mara ya pili kuokoa micho ya…
AHADI ZA FEDHA KWA WACHEZAJI YANGA VS SIMBA NI KUONYESHA TUMEPITWA NA WAKATI
NA SALEH ALLY WAPENDA soka lazima watakwenda Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam wakiwa na mambo mengi kichwani tayari…
MECHI TANO ZA MWISHO, ZINAIAMUA DABI YA KARIAKOO NAMNA HII
Na Saleh Ally GUMZO la Dabi ya Kariakoo limerejea tena, kila mmoja anajua anachokiamini na anazungumza anachoona ndio sahihi. Nani…
JOKATE AWAITA MASHABIKI WA YANGA TAIFA WAKAIMALIZE SIMBA
Na Mwandishi wetu MMOJA wa wapenzi maarufu wa Yanga,Ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegello, amewataka wenzake…
GEITA GOLD WAPANIA KUSHIRIKI LIGI KUU BARA
UONGOZI wa Geita Gold, inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza umesema kuwa mipango yao ni kuona wanatimiza malengo yao ya kupanda…
KOCHA AMBEBESHA ZIGO LA LAWAMA KIPA LIPULI, KISA KUFUNGWA MABAO MATATU
KOCHA Mkuu wa Lipuli FC, Nzeyimana Mailo amesema kuwa sababu kubwa ya sare ya kufungana mabao 3-3 na Ndanda FC…
AZAM FC V ALLIANCE NI VITA YA KISASI KESHO
KIKOSI cha Azam FC, kesho, Machi 7, kitakuwa Uwanja wa Taifa kumenyana na Alliance ya Mwanza kwenye mchezo wa Ligi…
RAIS CAF KUTUA BONGO KUISHUHUDIA YANGA NA SIMBA LIVE
AHMAD Ahmad, Rais wa Shirikisho la Soka Afrika, (Caf) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa watani wa jadi Yanga…
HESABU ZA MTIBWA SUGAR ZIPO NAMNA HII
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema kuwa bado wanapambana kurejesha makali ya kikosi chake katika Ligi Kuu Bara.Mtibwa…
YANGA YAONGEZA ULINZI KABLA YA KUVAANA NA SIMBA SABABU ZATAJWA
HASSAN Bumbuli, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wataongeza ulinzi kuelekea kwenye mechi yao ya Simba inayotarajiwa kufanyika Machi 8…
KABLA YA KUMENYANA NA YANGA, SIMBA YASEMA TUNA KAZI NGUMU
FRANCIS Kahata, kiungo mshambuliaji wa Simba amesema kuwa wana kazi kubwa na ngumu ndani ya Ligi Kuu Bara kusaka pointi…