YANGA YATOSHANA NGUVU NA ATLABARA UWANJA WA MKAPA

0
 KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha wa Makipa, Razack Siwa leo Agosti 4 kimelazimisha sare ya bila kufungana mbele ya Klabu ya Atlabara.Ni kwenye...

PETER BANDA ANA TUZO YA UFUNGAJI BORA, APITA NYAYO ZA BABA YAKE

0
 PETER Banda ameletwa duniani Septemba 22,2000 hivyo kwa sasa ana umri wa miaka 20 raia huyo wa Malawi ambaye anacheza pia timu ya taifa...

KUMBE KAIZER CHIEF WALIMTAKA LUIS KWA PESA NYINGI ZAIDI YA DAU LA AL AHLY

0
KAIZER Chiefs waliongeza dau kwa mzigo Simba, ili kumpata  Luis Miqussone aliyeko kwenye hatua za mwisho kutimkia Al Ahly.Habari za uhakika ambazo gazeti la...

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA ALTABARA KAGAME CUP

0
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya Altabara mchezo wa Cecafa Kagame Cup 2021, Uwanja wa Mkapa.

BAADA YA KUMRITHI MANARA MSIMBAZI…HII HAPA MITIHANI MITANO YA KAMWAGA

0
WIKI iliyopita Simba ilimtangaza, Ezekiel Kamwaga kukaimu nafasi ya Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano kwa miezi miwili kabla ya kutangaza rasmi nafasi...

BREAKING NEWS: YUSUPH MHILU ASAINI SIMBA SC KWA MIAKA MITATU

0
BREAKING: NYOTA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars aliyekuwa kikosi cha kwanza kilikuwa kinashiriki Cecafa Challenge 2021 U 23.Leo Agosti 4 ametangazwa...

UKATILI WA AMBUNDO UWANJANI, NA STORI YA SAID BAHANUZI

0
BAADA ya kukamilika kwa msimu wa Ligi Kuu Bara 2011/2012, kwenye dirisha la usajili la wachezaji wapya kulikuwa na jina moja ambalo lilitamba sana,...

BAADA YA KUTEMWA AZAM FC OBREY CHIRWA HUYOOO NAMUNGO FC

0
Mshambuliaji wa zamani wa klabu za Young Africans na Azam FC Obrey Chirwa, huenda akaibukia Namungo FC, baada ya kuachwa huko Azam Complex Chamazi,...

BAADA YA MANARA ‘KUMTAPIKIA NYONGO’..BARBARA AMJIBU HIVI ‘KIBABE’

0
Katika hali ambayo haijafahamika, Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amefunguka leo kupitia ukurasa wake wa Twitter akisisitiza msamaha.Barbara ameandika ujumbe mfupi wenye maneno...

BAADA YA KUTEMWA YANGA.. NTIBAZONKIZA ‘AWATAPIKIA NYONGO’ MABOSI YANGA

0
Klabu ya Young Africans imeachana rasmi na Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Burundi Saido Ntibazonkiza kwa makubaliano ya pande mbili.Young Africans imeachana na Mshambuliaji huyo...