VIDEO: LUIS RASMI NDANI YA AL AHLY, MO, GSM VITA UPYA, AUCHO KUSIMAMISHA NCHI
LUIS rasmi ni ndani ya Al Ahly, Mo, GSM vita yaanza upya, Aucho kusimamisha nchi.
JUMA MAKAPU WA YANGA KUIBUKIA MTIBWA SUGAR
KLABU ya Yanga inadaiwa kuwa imemuacha mchezaji wake Juma Makapu ambaye ameitumikia klabu hiyo kwa kipindi kirefu. Makapu amekuwa na kikosi cha Yanga kwa...
VIDEO: HAJI MANARA AWASHURUKU SIMBA, ATAJA SABABU YA KUBWAGA MANYANGA, CHUKI NA ISHU YA...
OFISA Habari wa Simba Haji Manara amesema kuwa anawashukuru mashabiki, wachezaji, viongozi pamoja na wadau ambao walikuwa wakifanya naye kazi wakati alipokuwa Ofisa Habari...
KIUNGO ALIYETEMWA KAGERA SUGAR AFUNGUKA KUSAINI SIMBA MIAKA MITATU
Siku moja baada ya Uongozi wa Kagera Sugar kutangaza kuwaacha wachezaji wanane, mmoja wa wachezaji hao Abdul-Swamad Kassim amefunguka ukweli wa safari yake ndani...
AMBUNDO: TUTAFANYA VIZURI, LEO YANGA KAZINI KWA MKAPA
DICKSON Ambundo, kiungo mshambuliaji ndani ya Yanga amesema kuwa imani yao ni kuweza kufanya vizuri katika men zao za Kagame pamoja na mashindano ya...
HAJI MANARA: SENZO ALIAJIRIWA ILI ANIFUKUZE
HAJI Manara aliyekuwa Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa Mtendaji Mkuu wa zamani wa Simba, Senzo Mbatha aliajiliwa ili aweze kumfukuza kazi.Haji alibwaga manyanga...
MANARA AMWAGA UGALI..AFUNGUKA A-Z KUHUSU BARBARA NA MO DEWJI MTAJA SENZO..
Aliyekuwa Afisa Habari wa klabu ya Simba SC Haji Sunday Manara amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kuachana na klabu hiyo mwishoni mwa...
EDO KUMWEMBE : SIONI HAJA YA SIMBA SC KUFANYA USAJILI
Mwandishi wa habari Mwandamizi na Mchambuzi wa Soka la Bongo Edo Kumwembe ametoa ushauri wa bure kwa Viongozi wa klabu Bingwa Tanzania Bara Simba...
DEAL DONE : LUIS MIQUISSONE MALI YA AL AHLY..SIKU YA KUAGWA NDANI YA SIMBA...
Uongozi wa Ahly umekamilisha rasmi uhamisho wa winga Luis Miquissone kutoka Simba kwa ada ya Dola 900,000Usajili wa winga huyo umekamilika rasmi leo baada...
MANARA ‘AMWAGA SIRI HADHARANI’ KUHUSU BILIONI 20 ZA MO KWA SIMBA..
Aliyekuwa Mkuu wa Idara Habari ya Klabu Bingwa Tanzania Bara Simba SC Haji Manara, amefunguka kuhusu tukio la Muwekezaji wa klabu hiyo Mohamed Dewji...