BAADA YA KUBWAGA MANYANGA, MANARA KUZUNGUMZA LEO

0
 LEO Agosti 8,2021 aliyekuwa Ofisa Habari wa Simba Haji Manara ataogea na aandishi wa Habari pamoja na jamii kiujumla kwa lengo la kuwashukuru Wanasimba.Manara...

KUMBE PRESHA YA KUPIGWA BAO ILIKUWA KWA WABABE WOTE

0
 IMEELEZWA kuwa mabosi wote wawili wa Simba na Yanga walikuwa kwenye presha kutokana na ishu za kukamilisha sajili kwa wachezaji wao wawili ambao tayari...

CHELSEA YAIKOMALIA SAINI YA LUKAKU

0
CHELSEA ipo kwenye mazungumzo na Klabu ya Inter Milan ili kuweza kumpata mshambuliaji wao wa zamani Romelu Lukaku ambaye alicheza hapo msimu wa 2011/14...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO

0
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano 

LUIS MIQUISSONE HUYO KUIBUKIA KWA WAARABU, DILI LAKE MIAKA MINNE

0
 IMEELEZWA kuwa Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes imekubali ofa ya dola za Marekani 900,000 (zaidi ya Tsh Bilioni 2) kumuuza kiungo...

YANGA YAINGIA ANGA ZA RASTA WA POLISI TANZANIA

0
 KIUNGO wa Polisi Tanzania, Hassan Nassoro inaelezwa amemalizana na mabosi wa Yanga kwa ajili ya kuwatumikia kwa msimu ujao.Nassoro mwenye rasta kichwani amekuwa na...

NAHODHA WA ASTON VILLA AREJEA KIKOSINI

0
NYOTA wa timu ya Aston Villa na nahodha pia Jack Grealish amerejra mazoezini kwenye kikosi cha timu hiyo baada ya mabosi wa Manchester City...

HII HAPA ORODHA YA NYOTA 8 WATAKAOKUTANA NA PANGA LA CHUMA YANGA

0
 NYOTA 8 ndani ya kikosi cha Yanga hawana uhakika wa kubaki ndani ya timu hiyo kwa msimu ujao wa 2021/22 kutokana na rekodi kuwakataa...

UKIACHA BANDA..HAWA HAPA NYOTA WENGINE AMBAO GOMES KAAGIZA WASAJILIE CHAP

0
Simba tayari imesajili wachezaji wanne ambao ni kipa Jeremiah Kisubi, beki Israel Mwenda, winga Jimson Mwinuke na straika Denis Kibu.Lakini pia leo inatarajia kumpokea...

CRISTIAN ROMERO YUPO KWENYE HESABU ZA KUJIUNGA NA SPURS

0
NYOTA  Cristian Romero yupo karibu kusaini dili jipya la kujiunga na Klabu ya Spurs na yupo tayari kukwea pipa ili kuibukia London kwa ajili ya...