KIMBEMBE: PAMOJA NA KUTAMBULISHWA LEO, KUMBE NABI HAKUMTAKA MAKAMBO
Kocha wa Yanga Nesreddine Nabi amesharejea nchini na soka la bongo inafahamu Mtunisia huyo hakutaka kumsajili Makambo, lakini mabosi wa Yanga tayari walishafika mbali...
VIDEO: TFF YAFUNGUKIA KUHUSU NAMNA WANAVYOFUATILIA KWA UKARIBU KUHUSU MDAMU
KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wilfred Kidao amesema kuwa kutokana na matokeo ambayo wanayapata kwa timu za vijana wanaona mwaga hasa...
TANZIA: NYOTA MTIBWA SUGAR ATANGULIA MBELE ZA HAKI
TANZIA: MADILU Mosha, aliyekuwa mchezaji wa Klabu ya Vijana ya Mtibwa Sugar ya Morogoro ametangulia mbele za haki.Taarifa rasmi iliyotolewa na Mtibwa Sugar kupitia...
VIDEO: MAKAMBO ASAINI YANGA, TAZAMA NAMNA ILIVYOKUWA
HERITIER Makambo, aliyekuwa anakipiga ndani ya Horoya AC ya Guinea kabla ya kuvunja mkataba huko ametambulishwa rasmi ndani ya Yanga baada ya kusaini dili...
PANGA LAPITA KAGERA SUGAR, 8 WAACHWA MAZIMA
UONGOZI wa Kagera Sugar Football Club unapenda kutoa taarifa kwa wanamichezo pamoja na Wanahabari kuwa umeamua kutowaongeza mikataba mipya wachezaji 8 ambao mikataba yao...
VIDEO: TFF YASAINI MKATABA WA BILIONI 3 NA TBC
LEO Agosti 3, Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) limeingia mkataba na Shirika la Utangazaji Tanzania, (TBC) kuhusu kurusha matangazo ya mpira wa miguu kwenye...
AZAM FC: JAMBO LETU HATUJAKAMILISHA HATA KIDOGO
VIVIER Bahati, Kocha Msaidizi wa kikosi cha Azam FC amebainisha kwamba jambo lao ambalo walitarajia kulifanya kwa msimu wa 2020/21 halijatimia hata kidogo.Mwanzo wa...
SHEVA HATIHATI KUACHWA SIMBA
KUNA hatihati nyota wa Simba mzawa Miaraj Athuman, 'Sheva' msimu ujao asiwepo ndani ya kikosi hicho kutokana na mabosi wa Namungo kutwaja kuwania saini...
BREAKING: MAKAMBO ATAMBULISHWA RASMI YANGA
BREAKING: DILI la usajili wa mshambuliaji wa zamani wa Horoya AC ya Guinea, Heritier Makambo limekamilika ambapo leo ametabulshwa rasmi ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine...
VIDEO: PETER BANDA,YANGA WAMDAKA JUU NA KUIFANYIA UMAFIA SIMBA
INAELEZWA kuwa mabosi wa Yanga wameifanyia umafia Simba katika ishu ya usajili wa mchezaji Peter Banda raia wa Malawi ambaye ni mshambuliaji mwenye miaka...