KAGAME: YANGA 1-0 NYASA BIG BULLETS
KOMBE la KagameUwanja wa MkapaKipindi cha kwanzaYanga 1-0 Nyasa Big Bullets Dakika ya 11 Kabwili anaokoa hatariDakika ya 7 Ambundo anatoa pasi kwa Wazir Junior,GoooalDakika...
YANGA YATAMBA KUFIKIA REKODI YA SIMBA KAGAME
KUELEKEA kuanza kutimua vumbi kwa michuano ya kombe la Kagame leo Jumapili, Uongozi wa klabu ya Yanga umetamba kuwa umejipanga vizuri kuhakikisha unaibuka na...
AZAM YAINGILIA USAJILI WA MANGALO SIMBA
INAELEZWA kuwa Uongozi wa klabu ya Azam uko kwenye mipango ya kutibua mipango ya usajili ya Simba kwa kumsajili, nahodha wa klabu ya Biashara...
RASMI MAYELE MALI YA YANGA ATAMBULISHWA NA JEZI APEWA
RASMI Fiston Mayele ni mali ya Yanga ambapo ametambulishwa leo Agosti Mosi kwa mashabiki.Mshambuliaji huyo raia wa Congo aliwasili Bongo jana na amemalizana na...
MRITHI WA LUIS MIQUISSONE SIMBA ATUA BONGO
KLABU ya Simba imeunasa mkataba wa winga wa kimataifa wa Malawi, Peter Banda ambaye imefahamika kuwa mchezaji huyo amemaliza mkataba wake wa mkopo ndani...
VIDEO: BASHUNGWA AKABIDHIWA KOMBE LA CECAFA LEO
TIMU ya taifa ya Tanzania chini ya miaka 23 leo imerejea na imeweza kupokelewa na mashabiki ikiwa na Kombe la Cecafa pia timu hiyo...
TAMMY ABRAHAM BEI YAKE YASHUSHWA
IMERIPOTIWA kwamba bei ya nyota wa Chelsea Tammy Abraham imeshushwa ili aweze kuuzwa kwa timu ambayo inamuhitaji ambapo Arsenal inapewa nafasi kubwa ya kumpata...
VIDEO: KOCHA KIM POULSEN ACHEZA SINGELI, KISA UBINGWA WA CECAFA
TIMU ya taifa ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 23 leo Agosti Mosi imerejea Tanzania ikitokea nchini Ethiopia ambapo imetwaa taji la Cecafa,...
VIDEO: MZEE MPILI AIBUKA KARIAKOO, ASEPA NA KIJIJI CHAKE
BAADA ya Yanga kupoteza mchezo wao wa Kombe la Shirikisho hakuweza kuonekana kwa muda Mzee Mpili ila kwa sasa ameonekana Kariakoo na mashabiki walimfuata...
TIMU YA TAIFA U 23 YAREJEA NA TAJI
KIKOSI cha timu ya taifa chini ya miaka 23 leo Agosti Mosi kimewasili Tanzania kikitokea nchini Ethiopia ambapo kimetwaa taji la Cecafa.Ushindi wa penalti...