MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU

0
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu 

VIDEO: NYOTA MPYA WA YANGA ATINGA UWANJA WA MKAPA

0
FISTON Mayele leo Agosti Mosi baada ya kutambulishwa ameshuhudia mchezo wa ufunguzi kati ya Yanga ambayo ni timu yake mpya dhidi ya Big Bullets...

VIDEO: NAMNA MAKAMBO ALIVYOTUA BONGO LEO

0
MSHAMBULIAJI Heritier Makambo leo amewasili ardhi ya Tanzania kwa ajili ya kumalizana na mabosi hao ambao tayari wameshamalizana na nyota Fiston Mayele.  

POGBA ATUPIA MABAO 28 NDANI YA MANCHESTER UNITED

0
KIUNGO Paul Pogba raia wa Ufaransa amecheza jumla ya mechi 137 ndani ya Ligi Kuu England ambapo kwa sasa ni mali ya Manchester United.Katika...

HIZI HAPA MILIONI 12 AMBAZO SIMBA, YANGA ZIMEIPA TFF

0
KAMATI ya Mashindano ya TFF, katika kikao chake cha Julai 27, mwaka huu kilipitia taarifa ya mchezo wa fainali ya kombe la Shirikisho wa...

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA NYASA BIG BULLETS, SURA MPYA ZAANZA

0
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya Nyassa Big Bullet, sura mpya za kazi zaanza ni pamoja na Dickson Ambundo winga kutoka Dodoma Jiji,Jimmy...

YANGA KUANZA KUTANGAZA MAJEMBE MAPYA

0
UONGOZI wa klabu ya Yanga umekuja na utaratibu rasmi wa kuwatambulisha wachezaji wao wapya waliowasajili, kwa ajili ya kuwatumia kwa msimu ujao wa 2021/22...

KAGAME: YANGA 1-0 NYASA BIG BULLETS

0
KOMBE la KagameUwanja wa MkapaKipindi cha kwanzaYanga 1-0 Nyasa Big Bullets Dakika ya 11 Kabwili anaokoa hatariDakika ya 7 Ambundo anatoa pasi kwa Wazir Junior,GoooalDakika...

YANGA YATAMBA KUFIKIA REKODI YA SIMBA KAGAME

0
KUELEKEA kuanza kutimua vumbi kwa michuano ya kombe la Kagame leo Jumapili, Uongozi wa klabu ya Yanga umetamba kuwa umejipanga vizuri kuhakikisha unaibuka na...

AZAM YAINGILIA USAJILI WA MANGALO SIMBA

0
 INAELEZWA kuwa Uongozi wa klabu ya Azam uko kwenye mipango ya kutibua mipango ya usajili ya Simba kwa kumsajili, nahodha wa klabu ya Biashara...