VIDEO:ALIYEITUNGUA YANGA ATAJA HESABU ZAO MECHI ZA MBELE KAGAME

0
MSOWOYA Chiukepo nyota wa Big Bullets ambaye jana Agosti Mosi alipachika bao la usawa mbele ya Yanga kwenye mchezo wa Kagame amesema kuwa kikubwa...

AMISS TAMBWE KURUDI BONGO ISHU IPO HIVI

0
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Klabu ya Yanga, Amis Tambwe amesema kuwa yupo tayari kurudi Bongo ikiwa itatokea timu inamuhitaji ili aweze kusaini.Tambwe anakumbukwa na...

NAMUNGO FC KUPITISHA PANGA KWA NYOTA 7, ORODHA HII HAPA, SALAMBA NDANI

0
 IMEELEZWA kuwa nyota 7 wa Namungo FC ya Lindi huenda wakawa kwenye ile orodha ya wachezaji watakaochwa kwa msimu wa 2021/21 kutokana na kushindwa...

AMBUNDO NA KIUNGO MPYA WA YANGA UKONGE WAKIWASHA

0
LICHA ya wawakilishi wa Tanzania, Yanga kuanza kwa sare kwenye mchezo wa kwanza wa Kombe la Kagame waliweza kupambana katika dakika zote 90 kusaka...

YANGA; TUTACHUKUA KAGAME, YANGA ITAKUWA TISHIO, WAMKATAA AJIBU

0
SHABIKI wa Yanga, Daud Yanga ameweka wazi kwamba wanaweza kuchukua ubingwa wa Kombe la Kagame ikiwa wataongeza juhudi huku akiamini kwamba wakiongezwa wachezaji wengine...

VIDEO: MAKAMBO ATUA DAR KIBABE, AMEAHIDI MAKUBWA, MAYELE KAZI IMEANZA

0
HERITIER Makambo atua Dar kibabe na ameahidi makubwa, Mayele kazi imeanza,aahidi makubwa.  

VIJANA U 23 WANASTAHILI PONGEZI, WASIPOTEZWE KATIKA RAMANI

0
KATIKA moja ya vitu ambavyo Waafrika tumebarikiwa na tunapaswa kujivunia ni kuwa na vipaji halisi vya usakataji kabumbu. Ukiangalia katika mitaa mbalimbali ya uswahilini katika...

VIDEO: WAZIR JUNIOR ANAAMINI KWAMBA MSIMU UJAO WATAFANYA VIZURI

0
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Wazir Junior amesema kuwa kwake ni jambo zuri kufunga kwa ajili ya timu yake ambapo alifanya hivyo jana Agosti Mosi mbele...

JUVENTUS YASANDA KWA LOCATELLI

0
 KLABU ya Juventus inaonekana kushindwa mbio za kuwania saini ya staa wa Sassuolo, Manuel Locatelli ambaye alikuwa anatajwa kuwindwa na mabosi hao kwa ajili...

VIDEO:YANGA WAWAKATAA SIMBA, KIWANGO CHAO WATAJA KUWA BORA

0
JANA Yanga ilicheza mchezo wa ufunguzi na Big Bullets ambapo ulikuwa ni wa Kombe la Kagame, mashabiki wameweka wazi kwamba Yanga ni timu kubwa...