MO DEWJI ATIBUA DILI LA GOMES KWENDA RAJA CASABLANCA YA MOROCCO
BILIONEA wa Simba, Mohammed ‘Mo’ Dewji juzi aliwapa furaha kubwa mashabiki na wanachama wa klabu hiyo, baada ya kukabidhi cheki ya Sh 20 Bilioni...
AZAM FC YASHINDA MABAO 2-0 MBELE YA KCCA, AZAM COMPLEX
KIKOSI cha Azam FC leo kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KCCA ya Uganda katika mchezo wa Kombe la Kagame.Ni katika Uwanja...
YANGA V SIMBA KWA MKAPA SEPTEMBA 25
WATANI wa jadi Simba na Yanga wanatarajiwa kukutana kwa mara nyingine tena Septemba 25, Uwanja wa Mkapa. Mchezo huo utakuwa ni wa Ngao ya...
WAKATI MO DEWJI AKITIA MZIGO SIMBA, BILIONE YANGA AJIBU MAPIGO
NI kama vile Yanga imeamua kuijibu Simba kwa vitendo siku chache baada ya Mwenyekiti wa Bodi wa klabu hiyo ya Msimbazi, Mohammed ‘Mo’ Dewji...
BARBARA AFUNGUKA ATAKAVYOTUMIA BILIONI 20 ZA MO..
WAKATI Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes akipitisha usajili wa Mmalawi, Peter Banda, Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Barbara Gonzalez amesema mambo matamu zaidi...
ISHU YA MEDDIE KAGERE KUSEPA SIMBA IPO HIVI
BAADA ya kuenea taarifa kwamba mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere yupo mbioni kutimka klabuni hapo, wakala wa mchezaji huyo, Patrick Gakumba, ameibuka na kufungukia...
EXCLUSIVE:NYOTA WA U 23 ALIYEFUNGA PENALTI YA MWISHO ABAINISHA KUWA PENALTI NI PRESHA
RAJAB Athuman nyota anayecheza ndani ya timu ya taifa ya Tanzania chini ya miaka 23 alikuwa ni nyota wa mwisho kwa timu hiyo kupiga...
HII HAPA ORODHA YA NYOTA WALIOMALIZANA NA AZAM FC
IKIWA kwa sasa timu zipo kwenye hesabu za usajili tayari mabosi wa Azam FC wamemalizana na nyota sita kwa ajili ya msimu ujao. Mshambuliaji wa...
ONYANGO AWATUMIA UJUMBE WANAOMUITA MZE, ATWAA MATAJI MANNE BONGO
NYOTA wa Simba, Joash Onyango amesema kuwa wale ambao walikuwa wanambeza msimu huu uliomeguka wa 2020/21 kwamba ni mzee wameona kazi aliyofanya na mwisho...
BREAKING: YANGA YAMTAMBULISHA NYOTA MPYA MWINGINE
UONGOZI wa Yanga leo umemtambulisha nyota mpya mwingine ambaye atakuwa ndani ya kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao wa 2021/21 ikiwa ni baada...