MABINGWA WA KOMBE LA SHIRIKISHO WATIA TIMU DAR NA TAJI LAO

0
 MABINGWA wa Kombe la Shirikisho,  Simba tayari wameshawasili Dar na taji hilo baada ya kulitwaa jana. Katika mchezo wa Kombe la Shirikisho kwenye fainali...

MZEE MPILI: KUNA NGAO YA JAMII, WAKIKAA VIBAYA NAWAPIGA KAMA LIGI

0
 OMARY Mpili,  maarufu kama Mzee Mpili amesema kuwa bado mechi moja lazima Simba wapigwe kwa kuwa hamna namna. Mpili awali alibainisha wazi kuwa katika...

BARBARA: BORA KUFUNGWA ILA TUCHUKUE KOMBE

0
 MTENDAJI Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amesema kuwa ikiwa ataulizwa kama apoteze mchezo ama atwae taji yeye angechagua kutwaa taji. Hiyo imetokana na utani...

AZAM FC: HAUKUWA MSIMU MZURI KWETU,TUTAJIPANGA

0
 VIVIER Bahati, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa msimu wa 2020/21 ulikuwa na ushindani mkubwa jambo ambalo linawapa somo la kujipanga kwa wakati...

YANGA:HATUNA CHA KUFANYA

0
 BAADA ya kupoteza katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho, uongozi wa Yanga umebainisha kuwa kwa sasa hauna la kufanya.Ilikuwa jana Julai 25,...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU

0
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu 

SIMBA YATETEA TAJI LAKE MBELE YA YANGA, MWISHO WA RELI KIGOMA

0
UWANJA wa Lake Tanganyika,  Kigoma katika fainali ya Kombe la Shirikisho, Simba imetwaa taji Lake mara mbili mfululizo baada ya msimu uliopita kufanya hivyo...

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA SIMBA

0
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo Julai 25 dhidi ya Simva, fainali ya Kombe la Shirikisho,  Uwanja wa Lake Tanganyika,  Kigoma mwisho wa reli huku...

KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA YANGA, MWISHO WA RELI KIGOMA

0
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo Julai 25 dhidi ya Yanga fainali ya Kombe la Shirikisho,  Uwanja wa Lake Tanganyika,  Kigoma mwisho wa reli huku...

NYOTA HUYU ATAJWA KUWA MRITHI WA MIKOBA YA NIYONZIMA YANGA

0
 HATIMAYE Kamati ya Usajili ya Yanga,inayoongozwa na Makamu Mwenyeikiti wake,Eng. Hersi Said, imedaiwa kufanikiwa kupenyeza ofa yao ya kumnasa kiungo mshambuliaji wa Kaizer Chiefs ya Afrika...