VIDEO:YANGA KUMSAJILI MSHAMBULIAJI WA MABAO
IMEELEZWA kuwa Yanga ipo kwenye hesabu za kumsajili mshambuliaji ambaye amefunga mabao 14 katika michezo 21.
VIDEO:MWINA KADUGUDA HAJUI MPILI KATOKEA WAPI
MWINA Kaduguda wa Simba amesema kuwa hajawahi kumuona Mzee Mpili na hajui ametokea wapi, shukrani nyingi amewapa mashabiki wa Simba pamoja na wale wa...
LUKAKU BADO YUPO INTER
MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Inter Milan, Romelu Lukaku amesema kuwa atabaki ndani ya kikosi hicho kwa kuwa anafurahi maisha ya hapo licha ya kuhusishwa...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma gazeti la Spoti Xtra Jumanne
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
SIMBA WAFUNGUKA SIRI YA KUBEBA ‘DABO DABO’ MSIMU HUU
NAHODHA msaidizi wa klabu ya Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ amesema upana wa kikosi chao ndio siri ya mafanikio makubwa waliyoyapata ndani ya misimu minne...
KIMEUANA: ZAWADI MAUYA AMSHUKIA MUKOKO KWA KUSABABISHA YANGA IFUNGWE
KIUNGO wa Yanga, Zawadi Mauya amefunguka sababu iliyowafanya washindwe kutamba tena dhidi ya Simba kuwa ni kucheza pungufu ndani ya dakika 45.Yanga walimaliza pungufu...
MUKOKO AWAPIGIA MAGOTI UONGOZI WA YANGA
KIUNGO wa Yanga, Mukoko Tonombe ameomba radhi mashabiki, benchi la ufundi pamoja na uongozi wa klabu hiyo kwa ujumla kutokana na kupata kadi nyekundu...
SIMBA WATAJA SABABU YA KUTOSHIRIKI KAGAME CUP , YANGA WATAJWA
Simba imetangaza kujitoa kwenye mshindano ya Kagame yanatotarajiwa kufanyika mapema Agosti jijini Dar es Salaam.Mratibu wa timu Simba, Abbas Ally amesema hawashiriki Kagame ili...
YANGA WARUDISHA SHUKRAN KWA MASHABIKI
UONGOZI wa Yanga umewashukuru mashabiki wao ambao walijitokeza kwa wingi jana kuipa sapoti timu hiyo. Ni katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho...