YANGA: TUMEJIPANGA KURUDI KIGOMA NA KOMBE

0
KATIKA kuelekea fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC), uongozi wa Yanga kupitia kwa Ofisa Habari wake, Hassan Bumbuli, umefunguka kuwa wamejipanga vizuri kuhakikisha wanatwaa ubingwa...

KUMBE! PILATO WA MECHI YA SIMBA V YANGA, FAIDA KWA SIMBA

0
MWAMUZI wa mtanange wa Yanga dhidi ya Simba kwenye mchezo wa fainali ya michuano ya Shirikisho la Azam (ASFC), Ahmed Arajiga, amechezesha michezo miwili ya Simba ambayo yote...

SAKATA LA HAJI MANARA NA BABBARA, SIMBA WATOA TAMKO

0
BAADA ya Ofisa wa Habari wa Simba, Haji Sunday Manara, kuweka hadharani chuki anazodaiwa kufanyiwa na Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa timu hiyo, Barbara Gonzalez, hatimaye uongozi wa...

NABI ATAKA KIUNGO HUYU KUTOKA MISRI

0
IMETHIBITISHWA kuwa uongozi wa Yanga upo kwenye mazungumzo na kiungo wa kimataifa wa Ghana anayecheza soka la kulipwa kwenye Klabu ya Cleopatra inayoshiriki Ligi Kuu ya Misri, Kwame...

WANNE WA AZAM FC RUKSA KUJIUNGA POPOTE BURE

0
NYOTA wanne waliokuwa wanakipiga ndani ya Azam FC sasa ni ruksa kujiunga na timu yoyote bure baada ya kutopewa madili mapya ndani ya Azam...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI

0
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili 

MO DEWJI KUVUNJA UKIMYA YANAYOENDELEA SIMBA

0
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC Mohamed Dewji ‘Mo’ atazungumza na waandishi wa habari ndani ya majuma...

YANGA YAPITISHA JINA LA KIUNGO KUTOKA MISRI

0
IMETHIBITISHWA kuwa Uongozi wa klabu ya Yanga upo kwenye mazungumzo na kiungo wa Kimataifa wa kimataifa wa Ghana anayecheza soka la kulipwa kwenye klabu...

SIMBA WAKOMAA NA BANDA WA MALAWI

0
KLABU ya Simba inaripotiwa kuwa ‘Siriaz’ na mpango wa kumsajili kiungo mshambuliaji kinda wa kimataifa wa Malawi, Peter Banda anayekipiga kwa mkopo ndani ya...

MWENDA AMKIMBIZA BEKI SIMBA

0
MLINZI wa kulia wa klabu ya Simba, David Kameta ‘Duchu’ huenda akawa sehemu ya kikosi cha klabu ya Mbeya kwanza kitakachoshiriki Ligi Kuu Bara...