JEMBE JIPYA LAWEKA WAZI SABABU ZA KUMWAGA WINO AZAM
BAADA ya kukamilisha usajili wa kujiunga na Azam, kiungo mshambuliaji Mzambia, Paul Katema ameweka wazi kuwa sababu kubwa ya kukubali ofa ya Azam, ni...
RAMANI YA SIMBA KUFUNGWA NA YANGA IMECHORWA NAMNA HII
UNAKUMBUKA ile posho ya milioni 500 ambayo uongozi wa Yanga uliwaahidi wachezaji na benchi la ufundi endapo wataifunga Simba katika mchezo wa Ligi Kuu na Yanga wakafanikiwa kuifunga?Sasa...
KISA SIMBA, DJUMA AKWAMA KUJA BONGO NA MAYELE
HABARI ikufikie kuwa uongozi wa Yanga umeamua kubadili rasmi mipango ya kutua nchini kwa wachezaji Shabani Djuma na Fiston Mayele ambao walitakiwa kutua mapema wiki hii.Yanga tayari ilikwishamalizana...
KOCHA YANGA AFUNGUKIA ISHU YA USAJILI WA MRITHI WA MNATA
KOCHA wa Makipa wa Yanga, raia wa Kenya, Razack Siwa, amefungukia ishu ya kuhitajika kwa mrithi wa Metacha Mnata kwa kusema kuwa, hadi muda huu hajashirikishwa lolote...
MANYAMA: ILIKUWA NDOTO YANGU KUSAJILIWA AZAM FC
BAADA ya kusajiliwa na Azam FC, beki kisiki, Edward Manyama, amesema kuwa ilikuwa ni ndoto yake kuichezea timu hiyo tangu akiwa JKT Tanzania, Namungo hata Ruvu Shooting.Nyota...
NYOTA HAWA WATATU WA SIMBA KUIKOSA YANGA KIGOMA
WAKATI kesho kikosi cha Simba kikitarajiwa kumenyana na watani zao wa jadi, Yanga kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho, kitawakosa nyota wake watatu.Mchezo wa...
NAWAKUMBUSHA WAAMUZI, YANGA V SIMBA, KIGOMA
WAKATI umewadia na muda umebaki mchache sana kabla ya watani wa jadi kuvaana kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.Historia inakwenda kuandikwa kwa uwanja huo kuwakutanisha watani wa...
SAWA KOMAA, LAKINI MANARA, BARBARA CHONDE
Na Saleh Ally UKIACHANA na suala la kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara mara nne mfululizo katika kipindi hiki, moja ya sifa kubwa kabisa ya Klabu...
MAKALI YA SIMBA BONGO NI YALEYALE
LICHA ya kukamilisha mzunguko wa pili na kucheza jumla ya mechi 34, safu ya ushambuliaji wa Simba inayoongozwa na John Bocco imeonekana kuwa kwenye...
YANGA KAMILI KULITWAA TAJI LA SIMBA, KIGOMA
UONGOZI wa Yanga umebainisha kwamba unahitaji kutwaa Kombe la Shirikisho ambalo lipo mikononi mwa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes.Yanga ikiwa imemaliza ligi...