MORRISON WA KIGOMA BEGA KWA BEGA NA MZEE DALALI, MCHETUAJI AMWAMBIA AKASOME
MZEE Hassan Dalali amesema kuwa miongoni mwa mashabiki ambao wanaompenda pia ni pamoja na Bernard Morrison wa Kigoma.Morrison huyo alipata pia bahati ya kuonana...
SAKATA LA MANARA GSM WATAJWA,KUNA MBUKINAFASO WA YANGA,NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi
SIMBA WAIKIMBIA YANGA KIAINA MICHUANO YA KAGAME
SIMBA haitoshiriki mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame) yatakayofanyika Tanzania kuanzia Agosti Mosi hadi Agosti 15 mwaka huu kwa...
HANS POPE – MANARA KAPEWA MILIONI 10 NA GSM
MJUMBE wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Zacharia Hanspope, amesema kitendo cha msemaji wa klabu hiyo, Haji Manara kusambaza sauti ikimtuhumu CEO, Barbara Gonzalez...
ALICHOSEMA BARBARA BAADA YA KUFIKA KIGOMA
Dakika chache baada ya Simba kuwasili mkoani Kigoma kwa maandalizi ya mchezo wa fainali ya kombe la Azam (ASFC) dhidi ya watani zao Yanga,...
GOMES – TUMESHAIMALIZA MECHI DHIDI YA YANGA KITAMBO TU
KOCHA wa Simba, Didier Gomes amesema katika mechi tatu za mwisho mara baada ya kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu alianza maandalizi ya mchezo wa...
SIMBA YATUMA UJUMBE HUU YANGA
DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Yanga, Julai 25.Simba wakiwa ni mabingwa watetezi...
KOCHA AS VITA AFUNGUKA DILI LA MAYELE KUTUA YANGA
KOCHA wa muda wa AS Vita, Raul Shungu ametamka kutoka moyoni kwamba kama Yanga ikikamilisha dili la Fiston Mayele na Heritier Makambo hapatatosha kwenye...
GOMES – LAZIMA TULIPE KISASI KWA YANGA KESHO KUTWA
LICHA ya kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara, lakini Kocha Mkuu wa Simba Mfaransa Didier Gomes, bado anawawaza watani wake Yanga akiahidi kulipa kisasi.Mfaransa...
YANGA KUSHUSHA ‘MASHINE YA KUFUNGA MAGOLI’ KUTOKA WYDAD CASABLANCA
ACHANA na Heritier Makambo, Fiston Mayele Yanga ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa Wydad Casablanca ya Morocco, Francis Kazadi...