KIMEUMANA…SAIDO NTIBANZOKIZA AFUNGUKA HATMA YAKE NDANI YA YANGA
KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Mrundi, Saidi Ntibanzokiza ‘Saido’ amewaondoa hofu Wanayanga kwa kuwaambia kuwa aendi popote na ataendelea na timu hiyo katika msimu mwingine...
YANGA YALIPIGIA HESABU KOMBE LA SIMBA KIGOMA
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa unahitaji kutwaa taji la Kombe la Shirikisho lililo mikononi mwa Simba hivyo watapambana kupata matokeo chanya.Tayari timu zote...
KIUNGO MKABAJI, INGIZO JIPYA LA AZAM: NATAKIWA KUFANYA KAZI
PAUL Katema, ingizo jipya ndani ya Klabu ya Azam FC akitokea Klabu ya Red Arrows amesema kuwa anatakiwa kufanya kazi ili kuongeza mchango wake...
HAWA HAPA KURITHI MIKOBA YA SARPONG NA LAMINE YANGA
KAMA mpango wa Yanga wa kuachana na wachezaji wake, Lamine Moro na Michael Sarpong ukatimia, basi huenda mshambuliaji wa AS Vita, Fiston Mayele na beki wa DC Motema Pembe, Henock Inonga wakachukua mikoba...
MAYELE JEMBE JIPYA LINALOTAJWA KUTUA YANGA LAMTAJA YACOUBA
MSHAMBULIAJI wa DR Congo, Fiston Mayele, amesema kuwa ana uhakika wa kupata nafasi ya kuanza katika kikosi cha Yanga katika msimu ujao wa mashindano yote itakayoshiriki klabu hiyo.Mayele ambaye alikuwa ni mshambuliaji wa...
KUMBE! MANARA ANATEMBEA NA MKATABA WA MILIONI, ISHU YAKE NA BARBRA BADO YAMOTO
HANS Poppe Zakaria, Mwanachama wa Klabu ya Simba amesema kuwa hajapendezwa na tabia ya Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kusikika akimlalamikia Mtendaji Mkuu...
MO AKUTANA NA MASTAA SIMBA, KISA YANGA
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’, mapema Jumatano aliwaandalia chakula cha mchana wachezaji na viongozi wa benchi la ufundi la timu hiyo, ikiwa ni muda mfupi kabla ya kuelekea Kigoma...
ABDALLAH ASHINDA JACKPOT YA SPORTPESA
MSHINDI wa bonasi ya Jackpot Abdallah Saad akishikilia mfano wa hindi ya shilingi 6,642,089/= baada ya kubashiri matokeo ya mechi 11 kati ya 13...
YANGA WANAPASWA WAMPONGEZE MWAMUZI ARAJIGA
SHAFFIH Dauda, mchambuzi wa masuala ya michezo na Mtangazaji amesema kuwa Yanga walipaswa kumpongeza mwamuzi wa kati Ahmed Arajiga na sio kuwa na mashaka...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa