ABDALLAH ASHINDA JACKPOT YA SPORTPESA

0
MSHINDI wa bonasi ya Jackpot Abdallah Saad akishikilia mfano wa hindi ya shilingi 6,642,089/= baada ya kubashiri matokeo ya mechi 11 kati ya 13...

YANGA WANAPASWA WAMPONGEZE MWAMUZI ARAJIGA

0
SHAFFIH Dauda, mchambuzi wa masuala ya michezo na Mtangazaji amesema kuwa Yanga walipaswa kumpongeza mwamuzi wa kati Ahmed Arajiga na sio kuwa na mashaka...

MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

0
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa 

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

0
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa 

RASMI : ALICHOKISEMA MAKAMBO KUHUSU DILI LAKE LA KURUDI YANGA

0
 STRAIKA kipenzi wa mashabiki wa Yanga, Heritier Makambo ametamka kauli ambayo mashabiki wa klabu hiyo walikuwa wanaisubiri kwa hamu.Makambo ambaye ni raia wa DR...

MANARA ‘AMNYEA UPYAA’ BARBARA, KUMWAGA ‘UPUPU’ ZAIDI JUMATATU

0
SAA chache baada ya Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez kumjibu Msemaji wa klabu hiyo, Haji Manara baada ya kusambaa sauti mitandaoni, msemaji huyo...

SIMBA WATOA TAMKO TUHUMA ZA MANARA KWA BARBARA

0
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu amewataka mashabiki na wapenzi wa timu hiyo kuwa watulivu.Murtaza amesema katika kipindi hiki ambacho timu hiyo imekuwa...

AL AHLY KUMCHUKUA LUIS MIQUISSONE JUMLA JUMLA

0
Mabingwa wa Kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly wako katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa winga wa Simba, Luis Miquissone katika...

YANGA WAMKATAA MWAMUZI WA SIMBA SC

0
 Klabu ya Yanga imeaza kuingiwa na mchecheto kuelekea mechi ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Simba, mchezo unaotarajiwa kupigwa Julai 25...

BARBARA AJIBU TUHUMA ZA MANARA KIBABE..

0
BAADA ya kusambaa sauti kwenye mitandao ya kijamii ikimhusisha Msemaji wa Simba, Haji Manara akimtuhumu Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Barbara Gonzalez hatimaye amefunguka...