BARBARA AJIBU TUHUMA ZA MANARA KIBABE..
BAADA ya kusambaa sauti kwenye mitandao ya kijamii ikimhusisha Msemaji wa Simba, Haji Manara akimtuhumu Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Barbara Gonzalez hatimaye amefunguka...
MBUNGE SHANGAZI ATEULIWA KUMRITHI BARBARA NDANI YA SIMBA
Mbunge wa Jimbo la Mlalo, Rashid Abdallah Shangazi ambaye ni Mwenyekiti wa tawi la Simba Bungeni maarufu ‘Wekundu wa Mjengoni' ameteuliwa kuwa Mjumbe wa...
CHUKI ZA BARBRA ZAMPA HOFU HAJI MANARA
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa anahofia kula chakula akiwa mbele ya Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez kutokana na kile anachodai...
YANGA WATIA TIMU KIGOMA MAPEMA KUIWAHI SIMBA
KIKOSI cha Yanga leo Julai 22 kimewasili Kigoma kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wa Kombe la Shirikisho. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi
HUU HAPA USAJILI KAMILI WA AZAM MPAKA SASA
KLABU ya Azam inaendelea kuonyesha makucha yake katika dirisha la usajili wa wachezaji wapya ambapo leo wamemtangaza rasmi, Kenneth Muguna na kufanya idadi ya...
JEMBE JIPYA AZAM LACHIMBA MKWARA MZITO
BEKI mpya wa kushoto wa klabu ya Azam, Edward Charles Manyama amefunguka kuwa amejipanga kuhakikisha anapambana kwa ajili ya kuhakikisha anakuwa sehemu ya mafanikio...
RONALDO KUMFUATA NEYMAR PSG
INAELEZWA kuwa klabu ya soka ya Juventus ipo tayari kumuachia staa wao Cristiano Ronaldo kujiunga na PSG, ili waipate saini ya staa Mauro Icardi.Kocha...
‘NEXT LEVEL’ YA SIMBA IACHANE NA ‘UJANJAUJANJA
JULAI 29, mwaka 2019 kutoka katika kinywa cha msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara yalitamkwa maneno yafuatao: “Tukio letu la wiki ya Simba...
BAADA YA KUTUPIA GENK MBAPPE WA BONGO AWEKA WAZI MIPANGO YAKE
BAADA ya juzi Jumatatu kufanikiwa kutupia bao lake la pili ndani ya kikosi cha klabu ya Genk, mshambuliaji kinda wa kimataifa wa Tanzania, Kelvin...