Trending Stories
View All
FAINALI YA TATU YANGA VS AZAM FC…REKODI ZIKO HIVI
MABINGWA WA LIGI KUU YANGA watacheza naΒ Waoka mikate wa Chamazi Azam FC, ambapo hii inatoa taswira za timu hizo…
SIO KAWAIDA SIMBA KUKUBALI KUFUNGWA…WAPONGEZWA
Pongezi zielekezwe kwa Simba,wamesajili vizuri,wanaonyesha kuna pahala wanaelekea kuutafuta ubora walionao Yanga kwa takribani misimu mitatu mfungaji! Yanga ilitengeneza upekee…
PRINCE DUBE AJUTA KUTOIFUNGA SIMBA…MWENYEWE ALICHOKIONA
BAADA ya kutoa asisti ya bao pekee kwenye Kariakoo Dabi ya Yanga na Simba jana mechi ya pili ya nusu…
MSALA WA AWESU NA KAGOMA SIMBA…TFF WAKUTANA
ACHANA na lile sakata la usajili wa beki Lameck Lawi aliyekuwa Coastal Union aliyetimkia kwa sasa KAA Gent ya Ubelgiji,…
MICHEZO YA EXPANSE KASINO INAKUPA UTAJIRI….
Michezo ya kasino kutoka Expanse inakufanya kuwa tajiri Zaidi, kwa kucheza kasino ya mtandaoni ya Meridianbet unajiweka karibu Zaidi na…
JOSHUA MUTALE “SGR” AWATULIZA SIMBA…MAZURI YANAKUJA
WINGA wa Klabu ya Simba, Joshua Mutale amesema kicheko kwa mashabiki wa timu hiyo ni suala la muda, akiwapa ahadi…
KESI YA MAGOMA NA YANGA ILVYOKUWA…KWA UNDANI ZAIDI MAMBO YALIKUWA HIVI.
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeruhusu Klabu ya Yanga kufanya mapitio ya marejeo ya shauri la madai namba 187/2022 lililofunguliwa…
BREAKING NEWS…SIMBA NA YANGA KUPIGWA OKT 19…BODI YA LIGI YATANGAZA
HATIMAYE Bodi ya Ligi wametangaza Ratiba ya Msimu wa Ligi Kuu 2024/25 ambayo itaanza kutimua vumbi kuanzia Agosti 16 kwa…
AHMED ALLY AJIBU SUALA LA JEZI YA MANULA…KUVALIWA NA MANULA
HATIMAYE Uongozi wa Simba kupitia Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu hiyo, imetoa ufafanuzi juu ya jezi namba 28…
SIMBA WAMBIPU MANULA…CAMARA ACHUKUA KILA KITU
MABOSI wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba ni kama jana Alhamisi ilibipu juu ya namba 28 ya kipa…
KUNA MAXI NZENGELI MMOJA TU YANGA…SI PACOME, CHAMA WALA NANI
WATAKUJA Wote na watasifiwa sana lakini kuna huyu mwamba mmoja atabaki dunia yake, Chama amesifiwa sana, kuna Dube lakini Maxi…
AHMED ALLY ATAMPONZA STEVE MUKWALA…TAKWIMU ZINAMBEBA
Usajili wa mshambuliaji aliyefanya vizuri sana kule Ghana katika Ligi Kuu ya nchi hiyo, Steven Mukwala ulishereheshwa vilivyo na Meneja…
WAZIRI CHUMI KUHUSU YANGA NA SIMBA…AWACHAMBUA WOTE
BAADA ya mchezo wa Kariakoo Dabi kutamatika na Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba, Naibu Waziri…
NYIE HAMUOGOPI? YANGA HII UNAIFUNGAJE…
YANGA hii unaifungaje? Mashabiki wametuma tambo kimtindo kwa watani zao wa jadi baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0…
KILICHOIUA SIMBA NI HICHI…SIMBA WATUPA LAWAMA KWA REFA
YANGA wameendeleza ubabe wao kwa Simba baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa nusu fainali ya Ngao…
AVIATOR INALIPA BALAAβ¦CHEZA NA USHINDE….
Kuwa rubani wa maisha yako kwa kurusha ndege ya Aviator, iliyopo Meridianbet, huu ni mchezo wa kasino ya mtandaoni ambao…