KIKOSI CHA MTIBWA SUGAR KINACHOTARAJIWA KUANZA LEO DHIDI YA YANGA
Kikosi cha Mtibwa Sugar kinachotarajiwa kuanza leo Februari 20 dhidi ya Yanga, Uwanja wa Mkaba:-Mshery AbuutwalibHassan KessyMartin KigiDickson DaudIssa RashidHaruna ChanongoAwadh JumaBaraja MajogoroGeorge Makang'aRiphat...
BEKI HUYU MATATA WA KIMATAIFA AINGIA ANGA ZA SIMBA
BAADA ya beki wa kulia wa timu ya AS Vita Club ya DR Congo, Shabani Djuma kuwasumbua Simba katika mchezo wa kwanza wa Ligi...
NYOTA WATANO WA YANGA KUIKOSA MTIBWA SUGAR KWA MKAPA
IKIWA leo Yanga inayoongoza Ligi Kuu Bara inashuka Uwanja wa Mkapa kusaka pointi tatu mbele ya Mtibwa Sugar itakosa huduma za nyota wake watano.Inashuka...
MKAKATI WA SIMBA NI KUSHINDA MBELE YA AL AHLY, KUTUA LEO
UONGOZI wa Klabu ya Simba umesema kuwa umejipanga kikamilifu kuhakikisha unafanikiwa kuvuna pointi tatu katika uwanja wa nyumbani dhidi ya Al Ahly.Simba inatarajia kuvaana...
YANGA WAIPA TFF MILIONI MOJA
KLABU ya Yanga imeipa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), shilingi milioni moja baada ya mashabiki wa timu hiyo kutenda makosa mawili tofauti katika michezo...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi
SABABU YA FEI KUMWAGA MACHOZI BAADA YA KUGAWANA POINTI NA KAGERA SUGAR
KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum amesema kuwa machozi aliyoyatoa wakati wakigawana pointi mojamoja na Kagera Sugar yalitokana na gharama ya timu hiyo kupambana ndani...
INGIZO JIPYA YANGA LAOMBA KUJIWEKA KANDO
FISTON Abdoul Razack ingizo jipya ndani ya kikosi cha Yanga inaelezwa kuwa aliomba akae pembeni kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera...
YANGA YATAKA KUJITOA KWENYE KUSHIRIKI LIGI KUU BARA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa ikiwa waamuzi wa mchezo wao wa kesho wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar watashindwa kuchezesha kwa haki...
SIMBA WAIJIBU KIMTIDO YANGA ISHU YA KUJIONDOA KWENYE LIGI
UONGOZI wa Simba kupitia kwa Ofisa Habari wao, umewajibu kimtindo watani zao wa jadi Yanga kuhusu suala lao la kusema kwamba wanaweza kujiondoa kwenye...