NAMUNGO YAPANIA KUFANYA VIZURI KIMATAIFA
HEMED Morocco, Kocha Mkuu wa timu ya Namungo FC amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho dhidi ya...
SIMBA YAWATOA HOFU MASHABIKI,YAWAOMBA DUA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo na wanatambua kwamba utakuwa na ushindani mkubwa ila hawana hofu kwa...
RUVU SHOOTING YATULIZWA MBELE YA IHEFU,YAPIGWA 2-0
IHEFU wameipapasa Ruvu Shooting mabao 2-0, mtupiaji ni Issa Ngoah..Kwa maana hiyo Ihefu FC wameifunga Ruvu Shooting nje ndani msimu wa 2020/21.Mzunguko wa Kwanza...
BARAZA ASEPA NA TUZO YA KOCHA BORA BONGO
FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Klabu ya Biashara United ameibuka na tuzo ya kocha bora kwa mwezi Januari ndani ya Ligi Kuu Bara kwa...
LIGI IMEGAWANYIKA KWA SASA VIPANDE VITATU
MWENDO ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2020/21 unakwenda kwa kasi sana jambo ambalo linafanya kila timu kuzidi kuwa imara.Ushindani ambao...
WAWAKILISHI WETU KIMATAIFA MNA KAZI YA KUFANYA KIMATAIFA
FURAHA ya mashabiki ni kuona timu inapata matokeo mazuri ndani ya uwanja. Jambo hilo lipo kwa kila mmoja ambaye anapenda mpira kwa kuwa ushindi...
KIKOSI CHA SIMBA KINACHOTARAJIWA KUANZA LEO MBELE YA AS VITA YA CONGO
LEO Februari 12 kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes kinatarajiwa kumenyana na AS Vita, ya Congo kwenye mchezo wa Ligi ya...
MORRISON, MUGALU WAPEWA JUKUMU ZITO DR CONGO
KUTOKANA na uzoefu wake alionao wa kuwahi kucheza soka Kinshasa, DR Congo, benchi la ufundi la Simba limempa jukumu zito kiungo wake mshambuliaji, Mghana...
ORODHA YA KIKOSI CHA NAMUNGO FC KITAKACHOIBUKIA ANGOLA
KIKOSI cha Namungo FC ambacho kinatarajiwa kuanza safari leo kuelekea Angola, msafara huo unajumuisha wachezaji 22 ambapo Februari 14 kitakuwa na kazi ya kumenyana...
MASTAA YANGA WALA KIAPO KUIUA MBEYA CITY KESHO
WACHEZAJI wa Yanga wameapa kuibuka na ushindi katika mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City utakaofanyika kesho Jumamosi kwenye Uwanja wa...