MITAMBO YA MABAO YAANZA KAZI RASMI YANGA

0
 MITAMBO ya mabao ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze tayari imeanza kazi kujiweka sawa kwa ajili ya mechi za...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI SPOTI XTRA JUMANNE

0
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumanne 

SIMBA KUREJEA KAMBINI KESHO

0
 BAADA ya jana Januari 31 kufanikiwa kutwaa taji la Kwanza ndani ya 2021, Mabingwa wa Ligi Kuu Bara,  Simba wanatarajia kurejea kambini kesho Februari...

KAGERA SUGAR:TUPO TAYARI KWA MZUNGUKO WA PILI

0
 MECKY Maxime, Kocha Mkuu wa kikosi cha Kagera Sugar amesema kuwa kikosi chake kipo tayari kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu Bara.Tayari Kagera...

DUH! CHIKWENDE MWILI UPO SIMBA,AKILI AZAM FC

0
 LICHA ya kusaini dili la miaka miwili ndani ya Klabu ya Simba inaelezwa kuwa mwamba Perfect Chikwende akili yake ipo Azam FC ila mwili...

MO SALAH KINARA WA UTUPIAJI ENGLAND

0
 KWENYE orodha ya watupiaji ndani ya Ligi Kuu England, Mohamed Salah anayecheza ndaniya Liverpool ni kinara akiwa nayo  mabao 15 na ana pasi tatu...

KMC YAIVUTIA KASI NAMUNGO FC

0
KLABU ya KMC FC imeanza kufanya maandalizi kuelekea katika mchezo wake dhidi ya Namungo FC unaotarajiwa kuchezwa Februari 4, Uwanja wa Uhuru.Mchezo huo utachezwa...

WATATU WA AZAM FC HATIHATI KUIKOSA TP MAZEMBE

0
KESHO Azam FC kuna hatihati ya kuwakosa nyota watatu kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya TP Mazembe kutokana na kutokuwa fiti kiafya. Frank Domayo, Agrey...

MKWANJA ANAOLIPWA KAZE YANGA ACHA KABISA, MAKAZI YAKE NAYO SIO POA

0
 WAKATI Yanga ikiwa inaongoza ligi, kocha mkuu wa timu hiyo, Mrundi, Cedric Kaze amekuwa akitumia kiasi cha shilingi milioni nane kwa siku 30 kulipa...

SIMBA YAPELEKWA MAHAKAMANI NA RWEYEMAMU

0
 ALIYEWAHI kuwa Meneja wa Simba, Patrick Rweyemamu, anaripotiwa kuishitaki timu hiyo mahakamani.Inadaiwa kuwa, Rweyemanu ambaye aliondolewa Simba mwaka jana baada ya Simba kupata matokeo...