YANGA KUIFUATA MBEYA CITY NA WACHEZAJI 24, SAIDO ABAKI BONGO
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze kinatarajiwa kuanza safari ya kuwafuata wapinzani wao Mbeya City, jiji Mbeya, kesho Februari 11.Vinara hao...
M-Bet YAWAPA MAMILIONI MASHABIKI YANGA WALIOSHINDA
MASHABIKI wawili wa mpira wa miguu wamejishindia jumla ya Sh 85,996, 360 baada ya kubashiri kwa usahihi jumla ya michezo 12 ya mchezo wa...
BWALYA: NITALIPIZA KISASI KWA SIMBA
MSHAMBULIAJI wa klabu ya Al Ahly, Walter Bwalya amefunguka kuwa amejipanga kuhakikisha analipa kisasi cha kufungwa na Simba wakati akiwa nahodha wa Nkana,...
ISHU YA NDAYIRAGIJE KUCHIMBISHWA STARS NGOMA NZITO
IKIWA tetesi zinaeleza kuwa Ettiene Ndayiragije, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzana, Taifa Stars amesitisha mkataba wake, Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) limesema...
KAGERE AANDIKA HISTORIA MBELE YA AZAM
MSHAMBULIAJI wa klabu ya Simba, Meddie Kagere ameandika historia mbele ya klabu ya Azam baada ya kufanikiwa kuifunga timu hiyo katika michezo mitatu mfululizo...
YACOUBA, SARPONG, WAPUNGUZA PRESHA YANGA, SAIDO AWEKWA CHINI YA ULINZI
ZIKIWA zimebaki siku tatu pekee kabla ya kuwavaa Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, presha imeshuka ndani ya kikosi cha Yanga baada...
MUONEKANO WA LAKE TANGANYIKA, DIMBA LA FAINALI FA
HUU ndio muonekano wa uwanja wa Lake Tanganyika uliopo mkoani Kigoma, uwanja huu ndiyo utakaotumika kwenye fainali ya kombe la Shirikisho la Azam (FA),...
JEMBE LA KAZI LAVUTWA NA KAZE,KUIVAA MBEYA CITY
BAKARI Mwamnyeto,nahodha msaidizi wa kikosi cha Yanga amerejea kambini baada ya kuwa na ruhusa maalumu kutokana na matatizo ya kifamilia.Mwamnyeto ambaye amekuwa akifanya kazi...
SIMBA YAJIPA MATUMAINI KUFANYA VIZURI KIMATAIFA
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa, Simba wameweka wazi kwamba wanaamini watafanya vizuri kimataifa kwa kuanza na mchezo wao dhidi ya AS Vita.Seleman...
DAVID MOYES:TULISTAHILI KUFIKA HATUA YA PENALTI FA
David Moyes, Kocha Mkuu wa West Ham United amesema kuwa wakati wakichapwa bao 1-0 dhidi ya Manchester United mchezo wa Kombe la FA walistahili...