WACHEZAJI WAWILI WA KIKOSI CHA KWANZA WAONDOKA YANGA
TONOMBE Mukoko raia wa Congo pamoja na Haruna Niyonzima wa Rwanda ambao wote ni viungo washambuliaji wameondoka ndani ya kikosi hicho na kuelekea nchini...
GOMES WA SIMBA AIPOTEZA REKODI YA UCHEBE KIMATAIFA
KOCHA wa Simba, Didier Gomes, amefanikiwa kuvunja rekodi ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Mbelgiji, Patrick Aussems maarufu kama uchebe baada kucheza mechi mbili...
BEKI WA ROMA YUPO SOKONI, UNITED NA CHELSEA ZAWANIA SAINI YAKE
GIANLUCA Mancini, beki wa Klabu ya Roma inaelezwa kuwa saini yake inawaniwa na timu kubwa mbili ambazo zinashiriki Ligi Kuu England ambazo ni Manchester...
MWAMBUSI ATAKIWA KUBAKI YANGA JUMLA
WACHEZAJI wa zamani wa Yanga, Bakari Malima ‘Jemba Ulaya’ na Adolf Rishard wamesema kuwa kama klabu hiyo inataka mafanikio msimu huu, ni vema wamuache...
SIMBA YAMALIZANA NA BEKI KITASA MBADALA WA KAPOMBE
ASILIMIA 90, Simba imemalizana rasmi na beki wa kulia wa AS Vita, Mkongomani Djuma Shaban na msimu ujao atavaa jezi zenye rangi ya nyeupe...
YANGA YATENGA MECHI ZA UBINGWA LIGI KUU BARA
UONGOZI wa Yanga, umesema kuwa bado una nafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara licha ya kuwa kwenye mwendo wa kusuasua mzunguko huu...
MRUNDI WA YANGA ATAJA WACHEZAJI WAKE ALIOWASAJILI
CEDRIC Kaze, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga na kufutwa kazi Machi 7,2021 baada ya ubao kusoma Polisi Tanzania 1-1 Yanga amesema kuwa alihusika kwenye...
STARS KUIFUATA KENYA LEO
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania kinachonolewa na Kocha Mkuu, Kim Poulsen leo Machi 13 kinatarajiwa kukwea pipa kuelekea Kenya ambapo kitakuwa na...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi
WACHEZAJI WANAOSAJILIWA YANGA HAWANA HADHI YA KUCHEZA KIKOSI HICHO
MCHAMBUZI wa masuala ya michezo Tanzania, Mwalimu Alex Kashasha amesema kuwa tatizo kubwa linaloitesa Klabu ya Yanga kwa wachezaji wake kushindwa kufanya vizuri ni...


