MO DEWJI: SIMBA HAINA HELA
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Klabu ya Simba, Mohamed Dewji amesema kuwa hela zote za usajili yeye anatoa kwa kuwa timu hiyo...
MAISHA YA POGBA MANCHESTER UNITED MAGUMU, ATAJWA KUIBUKIA HISPANIA
PAUL Pogba kiungo wa Klabu ya Manchester United huenda akaibukia ndani ya Klabu ya Real Madrid msimu ujao kutokana na kutopewa nafasi ndani ya...
MASHINE MPYA YA YANGA NI MWENDO WA KUTUPIA TU HUKO
NYOTA mpya wa Yanga, Said Ntibazonkiza raia wa Burundi amezidi kuwasha moto kwenye timu yake ya Taifa kwa kufunga mabao muhimu ya ushindi kwenye...
KUONA UJANJA WA IBRAHIM AJIBU, AME NA WAWA BUKU TATU TU
KIKOSI cha Simba kilicho chini ya Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck leo Novemba 16 kitakuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya African Sports utakaochezwa Uwanja...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu
TAIFA STARS NA KIBARUA KINGINE KESHO UWANJA WA MKAPA
KESHO timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ina kibarua cha kusaka pointi tatu kwenye mchezo wa kufuzu Afcon 2021 dhidi ya Tunisia.Stars ikiwa...
MTAMBO WA MABAO YANGA WAREJEA KAZINI
MTAMBO wa kutengeneza mabao ndani ya Yanga, Carlos Carlinhos amerejea uwanjani baada ya kukaa nje kwa muda akitibu jeraha la enka.Nyota huyo raia wa...
YANGA YAJIPIGIA AFRICAN LYON MABAO 3-1
KIKOSI cha Yanga leo Novemba 15 kimeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya African Lyon kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Azam...
MO DEWJI AWATULIZA SIMBA, AWAAMBIA CHAMA ANA MKATABA MREFU SIMBA
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Mohamed Dewji amesema klabu hiyo ilishaingia mkataba mpya na kiungo Cleotus Chama.Mo Dewji amesema mkataba wao na...
MO DEWJI AFUNGUKA KUHUSU MUKOKO TONOMBE, ASEMA MWALIMU KAPELEKA MAPENDEKEZO YA KIUNGO MKABAJI
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Mohamed Dewji amesema suala la Simba kuwa inamuwania kiungo nyota wa Yanga, Mukoko Tonombe ni propaganda zilizotengenezwa.Dewji...