MWAKINYO AMCHAPA KWA TKO MUARGENTINA
HASSAN Mwakinyo, bondia Mtanzania amesema kuwa alijipanga kuibuka na ushindi mbele ya mpinzani wake Jose Carlos Pazi wa Argentina jambo lililompa ushindi. Bondia Mwakinyo usiku...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi
STARS YABANWA MBAVU NA SUDAN YACHAPWA BAO 1-0
TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imebanwa mbavu na kikosi cha Tunisia kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Afcon 2022 nchini Cameroon.Bao pekee la...
SERIKALI YAITAKIA KILA LA KHERI STARS,MWAKINYO, KUANZA KUTENGA FEDHA
RAIS wa Jamhuri ya Tanzania, John Pombe Magufuli amesema kuwa anawatakia kheri wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambayo ina mchezo...
KAZE, KOCHA BORA MWEZI OKTOBA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze, amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Oktoba msimu wa 2020/21.Kaze amewashinda Aristica Cioaba wa Azam FC na Francis...
BREAKING: MUKOKO MCHEZAJI BORA MWEZI OKTOBA NDANI YA LIGI KUU BARA
KIUNGO wa Klabu ya Yanga, Mukoko Tonombe, amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Oktoba msimu wa 2020/21.Mwezi huo wa Oktoba, Yanga ilicheza michezo minne,...
CHAMA CLATOUS AFUNGUKIA ISHU YAKE YA KUIBUKIA YANGA
CLATOUS Chama, nyota wa Klabu ya Simba ameweka bayana mpango wake wa sasa ni kuitumikia timu hiyo na hana mpango wa kuibukia ndani ya...
KUMBE, CHILUNDA KOCHA ALIMKATAA MOROCCO
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa nyota wao Idd Chilunda alibadilisha timu ya awali aliyotakiwa kujiunga nayo kwa kuwa kocha wa timu hiyo...
SIMBA WANA MAMBO MATANO YANAYOWAPA NAFASI YA KUIFUNGA PLATEU, LAKINI SIO WEPESI
KOCHA wa Simba, Sven Vandenbroeck pamoja na mabosi wa timu hiyo kwa sasa wanaweza kuanza kufurahia kupangiwa na Plateau United FC ya Nigeria kwenye...
MWAKINYO NA MUARGENTINA LEO MWISHO WA UBISHI, TAMBO KIBAO
BONDIA Hassan Mwakinyo anapanda jukwaani usiku wa leo kutetea ubingwa wake wa Mabara wa WBF wa uzito wa super welter dhidi ya bondia Jose Carlos Paz...