SIMBA YAFUNGUKIA ISHU YA USAJILI WA TUISILA NA MUKOKO
UONGOZI wa Simba umesema kuwa umepnaga kufanya usajili mkubwa ndani ya kikosi hicho kwa ajili ya kuboresha kikosi hicho ambacho kinashiriki Ligi ya Mabingwa...
MUKOKO: NINA MKATABA NA YANGA
TONOMBE Mukoko nyota wa Klabu ya Yanga ambaye ameibuka ndani ya kikosi hicho akitokea Klabu ya AS Vita ya Congo amesema kuwa bado ana...
KOCHA MKUU WA TIMU YA TAIFA YA ENGLAND ATUMIA MUDA MWINGI KUMFARIJI KLOPP
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya England, Gareth Southgate amesema kuwa alitumia muda mrefu kuzungumza na Kocha Mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp kuhusu...
STARS KUWAKOSA WATATU, HESABU ZAO NI KUSHINDA LEO KWA TUNISIA
SIMON Msuva, winga wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa wachezaji wamekubaliana kupambana leo kupata matokeo chanya kwenye mchezo wa kuwania...
SIMBA YAMPIGIA HESABU KIUNGO ALIYEWAPA TABU NA KUSEPA NA TUZO MBILI
WAKATI jina la kiungo Tonombe Mukoko likitajwa kuingia kwenye rada za watani wa jadi Simba, nyota huyo amesepa na tuzo mbili kutokana na kuwapa...
ISHU YA CHAMA NGOMA NI NZITO, SIMBA WAJIBU KIBABE, YANGA WAKAZA
IMEELEZWA kuwa uongozi wa Simba umemalizana na kiungo Clatous Chama kwa kumpa dili la miaka miwili kutokana na kuhitaji huduma ya nyota huyo ambaye...
BOSI YANGA ATOA TAMKO KUHUSU UHASAMA WA KUHAMA SIMBA
BAADA ya Novemba 11, 2020, mshauri wa Klabu ya Yanga SC, Senzo Mazingisa, kuhojiwa na maofisa wa Polisi katika kituo cha Polisi cha Oyster Bay kwa...
JEMBE JIPYA LA YANGA KUTUA KUANZA KAZI,NI MTAMBO WA MABAO
UONGOZI wa timu ya Yanga umesema kuwa unatarajiwa kumpokea mshambuliaji wao mpya Sadio Ntibazonkiza mara baada ya kumalizika kwa mapumziko ya mechi za timu...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa
ISHU YA YANGA NA SIMBA IMEKWISHA SASA TUIPE SAPOTI TIMU YA TAIFA YA TANZANIA
NOVEMBA 7, mwaka huu ilikuwa siku ndefu sana kwa wadau wa soka hapa nchini hii ni kutokana na ratiba ya mchezo mkali wa dabi...