KUNA JEMBE JIPYA LA KAZE LINAKUJA, KUHUSU BOCCO, NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU

0
 KESHO ndani ya Gazeti la Championi Jumatatu, usipange kukosa nakala yako 

KAGERA SUGAR YAZIBAKIZA POINTI TATU ZA MWADUI FC KAITABA

0
 KIKOSI cha Kagera Sugar kinachonolewa na Kocha Mkuu, Mecky Maxime leo Novemba 22 kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mwadui FC.Kwenye mchezo...

VPL: YANGA 1-1NAMUNGO

0
 UWANJA wa MkapaNovemba 22, mchezo wa Ligi Kuu Bara Kipindi cha kwanza:-Yanga 1-1NamungoZinaongezwa dakika 2Dakika 45 zinakamilikaDakika ya 44 Carlos Carinhos anapiga nje ya langoDakika...

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA NAMUNGO FC UWANJA WA MKAPA

0
 KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo Novemba 22 mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC, Uwanja wa Mkapa, saa 1:00 usiku kipo namna...

HARMONIZE AVUNJA REKODI YA KIBA NA MONDI

0
 STAA wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul Kahali ‘Harmonize’, amevunja rekodi ya msanii mwenzake, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ aliyoiweka miaka mitatu iliyopita.  Kupitia wimbo wake...

BREAKING:MECHI ZA SIMBA ZAWAPA ADHABU MWADUI NA KAGERA SUGAR

0
 TAARIFA kutoka Bodi ya Ligi Leo Novemba 22, Kocha Mkuu wa Mwadui FC Khalid Adam amefunguwa kuiongoza timu yake katika michezo miwili kwa kosa...

DANSI IMEPOTEAJE KWENYE ARDHI YA BONGO, ZILE SHOO KUBWA HAKUNA TENA

0
 SUMU gani iliyoua dansi la Bongo? Hivyo ndivyo unaweza kujiuliza ukikumbuka miaka kadhaa iliyopita mashabiki wa burudani walivyokuwa hawaambiwi kitu na muziki wa dansi.Katika...

NYOTA SIMBA AUKUMBUKA MPIRA

0
 NYOTA wa zamani wa Klabu ya Simba, Mohamed Rashid ambaye kwa sasa maisha yake ya soka yapo ndani ya Klabu ya JKT Tanzania inayonolewa...

KAZE APATA HOFU KUIKABILI NAMUNGO KWA MKAPA

0
 CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa anatambua ubora wa wapinzani wake Namungo ambao atakutana nao  leo Novemba 22, Uwanja wa Mkapa jambo...

KUMBE, HAKUKUWA NA MAELEWAMO MAZURI KATI YA KOCHA ALIYEFUTWA KAZI NA MABOSI WA NAMUNGO

0
 BAADA ya Hitimana Thiery, aliyekuwa kocha mkuu wa Namungo kufutwa kazi Novemba Novemba 18 na mikoba yake kuchukua Hemed Morocco ameweka wazi kuwa hakukuwa...