GARETH ACHEKELEA KUREJEA TOTTENHAM
GARETH Bale nyota wa Klabu ya Tottenham Hotspurs ambaye ni nahodha wa timu ya Taifa ya Wales amesema kuwa amefurahi kurejea kwenye timu yake...
FRAGA ATIBUA MIPANGO YA MBELGIJI WA SIMBA KIMATAIFA
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kukosekana kwa nyota wake Gerson Fraga kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Plateau...
TAIFA STARS YAGAWANA POINTI MOJAMOJA NA TUNISIA BAADA YA KUFUNGANA BAO 1-1
TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, usiku wa kuamkia leo Novemba 18 imelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na timu ya Taifa ya...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano
IHEFU YAJIWEKA MGUU SAWA KUUMANA NA POLISI TANZANIA
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Ihefu FC amesema kuwa kikosi chake kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Polisi...
AZAM FC HESABU ZAKE KWA KMC
KIKOSI cha Azam FC kimeendelea kujiweka sawa kwa ajili ya mchezo wao wa ligi dhidi ya KMC utakaochezwa Uwanja wa Uhuru, Novemba 21 Uwanja...
YANGA: WACHEZAJI WANAJUA MALENGO YETU
JUMA Mwambusi, kocha msaidizi wa Yanga amesema kuwa uwezo walionao wachezaji wao unawapa nafasi ya kupata matokeo chanya kwenye mechi zao watakazocheza.Kwenye Ligi Kuu...
SIMBA YAMVUTIA KASI KIUNGO MKABAJI WA KAIZER CHIEF
INAELEZWA kuwa Simba inavutiwa na kiungo wa Kaizer Chiefs na timu ya Taifa ya Kenya Anthony Teddy Akumu.Hesabu za Simba ni kuinasa saini yake...
CECAFA U 20 KUFANYIKA NOVEMBA 22 ARUSHA
BARAZA la Michezo Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limetangaza michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 20 itataanza kutimua vumbi Novemba...
TIMU YA TAIFA YA MSUMBIJI YENYE LUIS YANYOOSHWA MABAO 2-0 NA CAMEROON
TIMU ya Taifa ya Msumbiji inayonolewa na Kocha Mkuu Luis Goncalves ikiwa nyumbani jana ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Cameroon Uwanja wa Estadio...