KAZE ASAINI DILI LA MIAKA MIWILI YANGA
UONGOZI wa Klabu ya Yanga leo Oktoba 16 umemtambulisha rasmi Kocha Mkuu Cedric Kaze, ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili kuwa ndani ya klabu...
RATIBA YA VPL LEO NI JAMHURI, DODOMA
LEO Oktoba 16 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ambapo mchezo mmoja utachezwa kwa timu mbili kusakapointi tatu muhimu. Dodoma Jiji FC itawakaribisha Mbeya City Uwanja...
DYBALA AINGIA ANGA ZA CHELSEA
IMERIPOTIWA kuwa Chelsea ipo kwenye mpango wa kuinasa saini ya Paulo Dybala anayekipiga ndani ya kikosi cha Juventus.Mshambuliaji huyo mwenye miaka 26 raia wa...
KASI YA AZAM FC YAIPA PRESHA SIMBA
USHINDI wa Azam FC jana Oktoba wa mabao 3-0 dhidi ya Mwadui FC umewapa presha mabingwa watetezi Simba kwa kusema kuwa wanakikosi kizui kinachostahili...
KOCHA YANGA APOKEA MESEJI NYINGI KABLA YA KUANZA KAZI
CEDRICK Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga ambaye ametua Bongo usiku wa kuamkia leo amesema kuwa anachohitaji ndani ya Yanga ni sapoti ili aweze kufikia...
MASHABIKI UINGEREZA KUPEWA RUKSA YA KUINGIA UWANJANI
HUENDA mashabiki wa soka nchini Uingereza wanaweza kurejea tena viwanjani hivi karibuni, baada ya ombi la mashabiki kupata saini nyingi kutoka kwenye Bunge la...
AZAM FC MOTO HAUZIMI, WAZIPOTEZA SIMBA NA YANGA
KIKOSI cha Azam FC kimeendeleza moto wake ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kushinda mechi sita mfululizo na kujiwekea kibindoni pointi 18.Kikiwa chini ya...
KOCHA SIMBA ATAJA SABABU YA KAKOLANYA KUSUGUA BENCHI
IKIWA Simba ipo nafasi ya pili baada ya kucheza mechi tano na kujikusanyia pointi 13 ndani ya Ligi Kuu Bara msimu huu, kocha mkuu...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa